Hospitali ya Sanitas yapewa siku saba kukamilisha malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wake agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana Patrobas Katambi mara baada ya kuzuru ofisini hapo kwa lengo la kujiridhisha na masuala ya kisera yanayohusiana na ajira, kazi na vijana. Akiwa ofisini hapo, …
Soma zaidi »TARURA WAHIMIZWA KUONGEZA KASI YA UTENDAJI KAZI
Na. Erick Mwanakulya. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Dkt. Festo S. Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuongeza kasi ya uboreshaji miundombinu ya barabara na madaraja na kushughulikia kwa wakati athari zinazotokea za uharibifu wa miundombinu …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021
Na. Majid AbdulkarimJumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021.Kauli hiyo imebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati …
Soma zaidi »SIMAMIENI MIRADI YA MAENDELEO – NAIBU WAZIRI SILINDE
Na Angela Msimbira SUMBAWANGANaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa David Silinde amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakatiNaibu Waziri Silinde ametoa agizo hilo, leo kwenye ziara yake ya Kikazi kukagua …
Soma zaidi »SILINDE: VIONGOZI WA MIKOA WEKENI MIKAKATI ENDELEVU UJENZI WA MADARASA
Na Angela Msimbira, Sumbawanga Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe David Silinde amewaagiza Viongozi wa Mikoa yote nchini kuhakikisha zoezi la ujenzi wa madarasa linakuwa endelevu na kuwekewa mikakati maalum ili kupunguza uhaba wa madarasa nchini. Ametoa agizo hilo leo wakati akikagua miradi …
Soma zaidi »DR. DUGANGE AWATAKA TARURA KUSIMAMIA MIKATABA
Nteghenjwa Hosseah, OR- TAMISEMINaibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Dk Festo Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuhakikisha mikataba ya ujenzi wa barabara inazingatia masharti na miradi inatekelezwa kwa wakati.Dk. Dugange aliyasema hayo jijini hapa alipokwenda kukutana na uongozi wa TARURA kwa madhumuni ya kujitambulisha, kutathimini …
Soma zaidi »MHANDISI NYAMHANGA ATOA SIKU 14 KUANZA KUTUMIKA KWA KITUO CHA MABASI MBEZI LUIS
Na. Angela Msimbira Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga ametoa siku kumi na nne kwa viongozi wa Mkoa wa Dar-es-salaam kuhakikisha kituo cha mabasi yaendayo mkoani cha mbezi Luis kinaanza kutumika ifikapo Disema 20,2020Akizungumza wakati wa zoezi la kukagua maendeleo ya …
Soma zaidi »JAFO AWAJIA JUU TARURA, UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Wakala wa barabara za vijijini na Mijini(TARURA) wanaosimamia ujenzi barabara ya mzunguko katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kukamilisha ujenzi huo ndani ya muda uliowekwa. Jafo ametoa agizo hilo wakati alipotembelea eneo …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA – KISARAWE MKOANI PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa …
Soma zaidi »TAMISEMI YARIDHISHWA NA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA KINONDONI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Josephat Kandege ameridhishwa na matumizi ya fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri zilizotumika katika utekelezaji wa miradi ya maedeleo iliyokamilika kwa wakati na viwango. Amesema kuwa Manispaa hiyo ni mfano wakuigwa kwa kuwa …
Soma zaidi »