Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Josephat Kandege wakati wa ziara yake katika …
Soma zaidi »WAZIRI NDALICHAKO ATANGAZA MIHULA NA TAREHE ZA KUANZA MITIHANI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo Juni 17, 2020 ametangaza tarehe za kuanza kwa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Upimaji wa kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili. Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dodoma, Prof. Ndalichako amesema …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 KATIKA MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »SERIKALI KULIPA MAFAO YA WALIMU 2631 KABLA YA MWEZI AGOSTI, 2020
Rais Dkt. John Magufuli amesemea kuwa Serikali italipa mafao ya walimu kabla ya mwezi wa Agosti mwaka huu ambapo walimu wanaodai mafao yao ni 2631, amesema hayo katika mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) uliofanyika mjini Dodoma “kwa taarifa za jana kutoka mfuko wa PSSSF umepokoea na kulipa trilioni …
Soma zaidi »MIRADI YA ULGSP YAWA KIVUTIO KWA WAGENI KATIKA MJI WA SUMBWANGA
Katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanamgusa kila mwananchi katika mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepewa dhamana ya kusimamia programu ya uimarishaji miji (Urban Local Government Support Program – ULGSP) kwaajili ya kuimarisha halmashauri 18 za miji …
Soma zaidi »WAZIRI NDALICHAKO AZITAKA SHULE KUACHA KUAGIZA FEDHA ZA ZIADA KUTOKA KWA WAZAZI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amezitaka Shule kuacha kutumia ugonjwa wa Covid-19 kama kitega uchumi kwa kuagiza fedha za ziada kutoka kwa wazazi; na kuwa Serikali itachukua hatua kwa shule zinazofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuzifutia usajili. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo jijini Dodoma alipozungumza na …
Soma zaidi »NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA YAONGEZEKA KWENYE HALMASHAURI NCHINI
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amesema uwepo wa nidhamu ya matumizi ya fedha kwenye Mamlaka za serikali za mitaa umechangia asilimia 95 ya Halmashauri kupata hati inayoridhisha kwenye ukaguzi. Chikota ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC), alitoa kauli hiyo jana …
Soma zaidi »MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS ATAKIWA KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu …
Soma zaidi »SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA KATA YA SUNYA
NA SAKINA ABDULMASOUD,KITETO. “Siku moja nilimshuhudia mama mmoja alikuwa mjamzito,alianza kuumwa tukataka kumpeleka hospitali,tulihangaika usafiri kwa watu mpaka tunakuja kuupata yule mama alishahangaika sana kwa uchungu,lakini tunamshukuru Mungu tulimfikisha na alijifungua salama,”ni Sefae Zibani mkazi wa Kata ya Sunya mkoani Manyara. Mkazi huyo na wenzake wanarudisha nyuma kumbukumbu wakati wakitembea …
Soma zaidi »