Tanzania MpyA+

Late Live: IGP AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Azungumzia hatua muhimu za oparesheni mbalimbali za jeshi la polisi kwa miezi mitano (Machi hadi Oktoba) Oparesheni hiyo imeweza kukamata magari ya wizi 42 na yote yanaletwa Dar es Salaam kwaajili ya kuwarahisishia wananchi kwaajili ya utambuzi katika tarehe itakayotangazwa. Hali kadhalika, silaha mbalimbali 190 na risasi nyingi zimekamatwa katika …

Soma zaidi »

#MATAGA WIZARA YA MAJI; HADI SASA VITUO 123,888 VYA KUCHOTEA MAJI VIMEJENGWA KATIKA VIJIJI NCHINI!

Maji ni rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Tanzania inakadiriwa kuwa na rasilimali za maji juu ya ardhi zenye kilomita za ujazo 92.27 na chini ya ardhi kilomita za ujazo 38. Utunzaji na uendelezaji wa rasilimali hizo unasimamiwa na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali ikiwa ni …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AENDELEE KUFUFUA UCHUMI NCHI HII IJITEGEMEE – DKT. MAUA DAFTARI

“(Rais Magufuli) Aendelee kufufua uchumi wa nchi hii tujitegemee. Kama tuna Rasilimali zote tulizonazo, kwanini bajeti yetu iwe ni ya kusaidiwa.. kwenye kikombe kuomba kwa watu; why!? Bajeti yetu itokane na makusanyo yetu! Na tunao uwezo wa kufanya hivyo! Anayetaka ku-invest (kuwekeza) aje a-invest.. kwenye agriculture (kilimo).. lakini na Watanzania …

Soma zaidi »

TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA MIAKA MITANO MFULULIZO-Dkt. TIZEBA

Tanzania imeendelea kuwa ghala la chakula kwa nchi za jirani kwa kipindi kirefu baada ya kujitosheleza kwa chakula takribani kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo. Tanzania imeweza kuuza ziada ya mazao mbalimbali ya chakula katika nchi za nje. Kulingana na takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kipindi …

Soma zaidi »

TANZANIA YA VIWANDA: Wakulima Mkoani Ruvuma Waendelea Kunufaika na Kiwanda Cha Kubangua Korosho!

Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima. Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo. Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho. Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.

Soma zaidi »