Utandikaji wa reli ya kisasa ya SGR umeanza leo rasmi katika eneo la Soga Kibaha Mkoani Pwani, ambapo awamu ya kwanza itafanyika katika kilometa 55.
Soma zaidi »AHADI: Hii hapa ahadi ya Rais Dkt Mgufuli iliyotimiA
Ikumbukwe kwamba mnamo tarehe 17 Octoba 2015 katika kampeni za uchaguzi mkuu 2015, Dk Magufuli alifanya kampeni katika jimbo la Segerea, aliwaomba wakazi wa Dar es Salaam wampatie kura Oktoba 25 ili aweze kutekeleza miradi hiyo mikubwa itakayoenda sanjari na ujenzi wa barabara za juu zitakazopunguza foleni. LEO AHADI IMETIMIA …
Soma zaidi »TANESCO KUOKOA MIL. 450 KILA MWEZI BAADA YA KUZIMA MITAMBO YA KUFUA UMEME INAYOTUMIA DIZELI RUVUMA
Moja ya mitambo ya kufua umeme wa mafuta ya dizeli uliokuwa kwenye kituo cha Songea ikiwa imezimwa. Kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya dizeli iliyokuwa ikitumika kufua umeme kwa matumizi ya mji wa Songea na vitongoji vyake Septemba 13, 2018 baada ya kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa, Shirika la umeme …
Soma zaidi »GAIRO: Gairo yafaidika milioni 135 katika Elimu
Mkuu wa wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchemba akiongozana na DED na Meneja TARURA wamefanya ziara Kata ya Mandege vijiji vya Njungwa na Ikwamba. Mbali na barabara kuwa changamoto wamefanikiwa kufika katika kata hizo. Katika kuboresha miundo mbinu ya barabara tayari TARURA wameanza ujenzi wa barabara hizo. Wananchi wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA URITHI FESTIVAL
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwa kutambua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa nchi yetu, na kwamba ili kuweza kupata watalii wengi zaidi lazima kuwa na usafiri wa anga ulio na uhakika; ndiyo maana Serikali imeamua kufufua shirika letu …
Soma zaidi »Eng. Patrick MFUGALE aongelea kuanza kutumika Kwa Flyover kabla ya uzinduzi.
Barabara za juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam nchini Tanzania zimeanza kutumika hii leo kwa majaribio ambapo uzinduzi rasmi utafanyika baada ya tarehe rasmi kupangwa. Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa uzinduzi huo wa majaribio injinia Patrick Mfugale ambaye barabara hizo zimepewa jina lake Mfugale Fylover amesema …
Soma zaidi »MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA
Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …
Soma zaidi »KIGOMA INAJENGWA UPYA
Barabara za mji wa Kigoma zajengwa upya kwa kiwango cha lami. Barabara ya Lusimbi inayotokea mtaa wa Shaurimoyo Mwanga kupitia barabara kuu ya Lumumba,Legezamwendo,Mabatini na inakuja kutokea Pefa Ujenzi jirani kabisa na Kanisa la Efatha Ministry ambayo inakutana na Kasulu Road Pia barabara Mji mwema ikianzia maeneo ya Bima Kigoma …
Soma zaidi »LIVE: Kutoka Dodoma; Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Tamasha la Urithi
• Ni katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Fuatilia kwa kubofya link Hii
Soma zaidi »HISTORIA NA MAISHA YA DKT. JAKAYA KIKWETE
•Nitabu kipya kinaandikwa na kinakuja hivi karibuni • Ni cha historia na maisha ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne. • Kitakuwa na safari nzima ya maisha, uongozi na hali ya sasa ya Mhe. Rais Mstaafu #TupoVizuri #MATAGA (tazama video …
Soma zaidi »