Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili ya wafanyakazi kutafakari na kutathmini namna walivyotekeleza malengo waliyojiwekea katika mwaka husika.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya maandimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)
Arusha Tanzania Mei Mosi, 2024
Soma zaidi »KONGAMANO LA WADAU WA MAZINGIRA 31 MEI 2024
KONGAMANO LA WADAU WA MAZINGIRA 31 MEI 2024 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTER (JNICC) MGENI RASMI MHE DKT PHILIP ISDOR MPANGO MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Soma zaidi »TUMEKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUZIGEUZA CHANGAMOTO KUWA FURSA – Dkt. Immaculate Mkurugenzi Mkuu NEMC
Changamoto za mazingira zinaweza kuwa fursa kwa njia kadhaa: 1. Ubunifu na Teknolojia Mpya: Changamoto za mazingira kama uchafuzi wa hewa, maji na udongo zinaweza kuchochea maendeleo ya teknolojia mpya na mbunifu zinazolenga kupunguza athari hizo. Hii inaweza kujumuisha teknolojia za kusafisha maji, kupunguza uchafuzi wa hewa, na kuboresha mchakato …
Soma zaidi »“Uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo”
Makamu wa Rais ametoa maagizo wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Mazingira lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam. Amesema uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo huku uharibifu wa misitu ukiendelea kuwa changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya …
Soma zaidi »HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI, MEI MOSI
Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi! Ni siku muhimu ya kuenzi mchango wa wafanyakazi katika kujenga taifa letu na kutambua haki zao. Tunatumai kila mtu anaweza kusherehekea siku hii kwa furaha na matumaini ya siku zijazo zenye mafanikio zaidi. #Tanroads #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania …
Soma zaidi »MATUKIO KATIKA PICHA KATIKA KONGAMANO LA WADAU WA MAZINGIRA 31 MEI 2024 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTER (JNICC) MGENI RASMI MHE DKT PHILIP ISDOR MPANGO MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024.
Soma zaidi »Serikali Yathibitisha Ujenzi wa Barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji Kuongezewa Urefu wa Kilometa 10
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amefichua kuwa serikali imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji, ambayo itaboresha miundombinu muhimu katika eneo hilo lenye umuhimu mkubwa. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi huko Wilayani Kigamboni, Mkoani Dar es Salaam, Bashungwa alifichua kuwa …
Soma zaidi »