Serikali za Tanzania na Czech kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kuvutia uwekezaji kati yao. Kuondoa utozaji wa kodi mara mbili kunahamasisha biashara na uwekezaji wa moja kwa moja (FDI) kwa kuifanya nchi ya Tanzania kuwa mahali bora zaidi kwa wawekezaji wa Kicheki. Hii inaweza kusababisha ukuaji wa uchumi na kujenga …
Soma zaidi »MAFANIKIO YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO NA UKUAJI WA MIRADI YA UWEKEZAJI: RIPOTI YA JULAI 2023 – JANUARI 2024
Ukusanyaji wa Mapato. Ripoti inabainisha mafanikio ya Serikali katika kukusanya mapato ya ndani, ambapo kati ya Julai 2023 na Januari 2024, Serikali ilifanikiwa kukusanya shilingi trilioni 17.1, sawa na asilimia 95.9 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 17.9. Hii inaashiria kiwango cha juu cha ufanisi katika ukusanyaji wa mapato, ambapo …
Soma zaidi »TRA Imekusanya Tsh. Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023.
TRA ilikusanya Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023, ukusanyaji wa juu zaidi kwa mwezi katika historia. Ilipita lengo lake kwa asilimia 102.9%. Mwelekeo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa miezi 6 iliyopita. Julai – Trilioni 1.9 ,Agosti – Trilioni 2 ,Septemba – Trilioni 2.6 , Oktoba – Trilioni 2.148 ,Novemba – Trilioni 2.143 ,Desemba – Trilioni 3.049. Wajibu …
Soma zaidi »Kodi zinachangia katika kufadhili miradi ya maendeleo, miundombinu, na huduma za jamii. Hii inaweza kusaidia kuimarisha uchumi wa nchi.
TAARIFA YA MAKUSANYO YA KODI YA NUSU MWAKA WA FEDHA 2023/2024.
LIPA KODI, JENGA TANZANIA
RC MONGELLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku wafanyabiashara hao wakiishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa zoezi hilo ambalo linawaleta karibu walipakodi na …
Soma zaidi »