Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe ameliagiza Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL) kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowawezesha kuyafikia maeneo kiuchumi. Kamwelwe ameyasema hayo baada ya kushuhudia zoezi la utiaji saini wa kupeleka mawasiliano vijijini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote na …
Soma zaidi »TTCL NA BACKBONE SYSTEM YA BURUNDI WASAINI MKATABA WA MIAKA 10 WENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 13.8
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya shilingi bilioni 13.8 na Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) kwa ajili ya kupeleka huduma ya internet nchini Burundi
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AIAGIZA UCSAF KUIWEZESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO TTCL
Rais Dkt. John Magufuli ameitaka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kutoa kipaumbele katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano kwa Kampuni ya Mawasiliano Nchini (TTCL) ili liweze kumiliki idadi kubwa ya minara ya mawasiliano ya simu na kumudu ushindani wa soko la mawasiliano …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL
Rais Dkt.John Magufuli siku 30 Ofisi ya Rais-IKULU, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara pamoja na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kutum kutumia huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Nchini (TTCL)ikiwemo laini, ili kupanua huduma za mawasiliano ya Mtandao wa Kampuni hiyo nchini. …
Soma zaidi »