Kujisajili katika Daftari la Mkazi wa Serikali za Mitaa ni muhimu kwa sababu zifuatazo: Kujisajili kunawawezesha wakazi kupata haki zao za kiraia, ikiwa ni pamoja na kushiriki kikamilifu katika chaguzi za Serikali za Mitaa kwa kupiga kura na kugombea nafasi za uongozi. Pia Wakazi waliosajiliwa wanakuwa na uwezo wa kupata …
Soma zaidi »je wewe unangoja nini ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Soma zaidi »Mh Rais Samia ameanza, wewe unasubiri nini ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma
Soma zaidi »MAANDALIZI MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA YAKAMILIKA, KUFANYIKA UKUMBI WA JNICC
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji, Francis K. Mutungi akitoa ufafanuzi wakati wa Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa kilichoketi leo tarehe 2 Januari 2024 jijini Dar es Salaam. Kikao hicho cha maandalizi ya mwisho kuelekea Mkutano Maalum wa wadau wa Demokrasia na Vyama vingi …
Soma zaidi »TUNADI SERA ZETU NA WANANCHI WAWEZE KUTUPIMA KUTOKANA NA SERA ZETU – RAIS MAGUFULI
“Tanzania tunatakiwa tuijenge, Tanzania ya Nyerere inatakiwa iende hivi na mimi niwaombe, niwaombe sana ndugu zangu wanasiasa wezangu kama ambavyo imekuwa kawaida yenu katika uchaguzi huu uwe uchaguzi maalum” “Tufanye kampeni zetu kwa upole, tufanye kampeni zetu kwa kumtanguliza Mungu, tufanye kampeni zetu kwa kujua sisi ni taifa la Tanzania, …
Soma zaidi »NEC INATARAJIA KUTANGAZA HIVI KARIBUNI MABADILIKO YA MAJINA KWA BAADHI YA MAJIMBO
Janeth Raphael, Michuzi TV Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza hivi karibuni mabadiliko ya majina kwa baadhi ya majimbo, huku akisema kuwa inatarajia kutoa ajira kwa watu 390,824 watakaoshiriki usimamizi wake kwenye vituo 75,000. Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, aliyasema hayo jana …
Soma zaidi »