Kassim Majaliwa SADC SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ UCHUMI TANZANIA Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU AWAHAMASISHA WATANZANIA KUENDELEA KUTEMBELEA KWA WINGI MAONESHO YA BIASHARA YA NCHI ZA SADC KUONA FURSA ZILIZOPO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahamasisha Watanzania kutembelea Wiki ya Maonesho ya Biashara ya nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijjini Dar es Salaama ili kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa. Amesema ni fursa kubwa kwa Watanzania kuona bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi yao lakini pia wakaona bidhaa zinazozalishwa na nchi nyingine ambazo […]

AfDB BANK BANK KUU (BOT) Bank ya Dunia Benk Tanzania MKUTANO WA WADAU WA KUKUZA UCHUMI Sisi Ni Tanzania MpyA+ Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ Uchumi UCHUMI TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

TANZANIA YARIDHIA AfDB KUONGEZEWA MTAJI

Tanzania imeunga mkono uamuzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB wa kutaka kuongezewa mtaji ili iweze kutekeleza majukumu yake ya kutoa mikopo kwa nchi wanachama wa benki hiyo kwa lengo la kuchochea zaidi maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wa 7 wa magavana wa ambao ni Mawaziri wa Fedha kutoka […]

MKUTANO WA WADAU WA KUKUZA UCHUMI Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ Uchumi UCHUMI TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

DKT. PHILIP MPANGO: TANZANIA KUTETEA MASLAHI YAKE KATIKA MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA IMF-WASHINGTON DC

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mikutano ya kipupwe(Spring Meetings)  ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayofanyika mjini Washington DC, Marekani. Akizungumza kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Mjini Washigton DC, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amesema kuwa ujumbe wa […]