TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA MAENDELEO; KUONGEZA UWEKEZAJI WA GESI, KUVUTIA BILIONI 1 ZA UWEKEZAJI, NA USHIRIKIANO NA INDONESIA.
Kuongeza Uwekezaji wa TPDC kwenye Kitalu cha Gesi Mnazi Bay Hatua ya kuongeza hisa za TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay ina lengo la kuimarisha udhibiti wa nchi katika rasilimali za gesi. Kuwa na umiliki mkubwa zaidi kunaweza kuongeza faida kwa Tanzania na kuhakikisha uwiano mzuri wa manufaa kati …
Soma zaidi »Waziri wa habari, mawasiliano,na teknolojia ya habari Mhe Nape Nnauye (Mb), akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, pamoja na Afisa Mtendaji wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna, wakitia saini makubaliano ya ushirikiano kati ya Wizara na Benki hiyo.
@wizarahmth @Nnauye_Nape
Soma zaidi »Tanzania Kushiriki Mkutano Wa MINING INDABA 2024 AFRICA Kusini
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Davos nchini Uswisi ambapo alimwakilisha Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich nchini Uswisi ambapo anatarajia kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF)
TRA Imekusanya Tsh. Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023.
TRA ilikusanya Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023, ukusanyaji wa juu zaidi kwa mwezi katika historia. Ilipita lengo lake kwa asilimia 102.9%. Mwelekeo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa miezi 6 iliyopita. Julai – Trilioni 1.9 ,Agosti – Trilioni 2 ,Septemba – Trilioni 2.6 , Oktoba – Trilioni 2.148 ,Novemba – Trilioni 2.143 ,Desemba – Trilioni 3.049. Wajibu …
Soma zaidi »