Mkoa wa Geita MRADI WA UMEME VIJIJINI MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WAZIRI WA NISHATI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA TANESCO CHATO, GEITA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Tanesco katika Wilaya ya Chato na Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita zitakazokuwa na hadhi ya kimkoa ya Kitanesco. Hafla hiyo iliyofanyika tarehe 15 Oktoba, 2019 katika Kitongoji cha Mlimani, wilayani Chato ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

DKT.KALEMANI AMSIMAMISHA KAZI ALIYESABABISHA UMEME KUKATIKA KWA UZEMBE

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amemsimamisha kazi kwa uzembe, Mhandisi Samson Mwangulume wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) baada ya umeme kukatika kutokana na hitilafu iliyotokea katika Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme cha Ubungo, Jijini Dar es salaam. Umeme huo ulikatika usiku wa Octoba 03, 2019 na kusababisha Mkoa wa Dar es […]

MKOA WA TABORA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

BODI YA REA YAKAGUA MRADI WA UMEME JUA UYUI

Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekagua mradi wa umeme jua unaotekelezwa katika kijiji cha Tura, kilichopo Uyui, Mkoa wa Tabora; ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo katika mikoa mbalimbali nchini, kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini. Akizungumza Oktoba Mosi, 2019 baada ya kukagua mitambo […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME VIJIJINI TABORA HAURIDHISHI – BODI

Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema hali ya utekelezaji mradi wa umeme vijijini mkoani Tabora hairidhishi. Akitoa tathmini ya ziara waliyoifanya Oktoba 2, 2019 kukagua utekelezaji wa Mradi huo Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Kwanza mkoani humo; Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi husika, Mhandisi Styden Rwebangira alisema, kufuatia hali […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI WAAGIZWA KUMALIZA KAZI DISEMBA 31

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameagiza kuwa wakandarasi wa umeme vijijini wenye mikataba wahakikishe kuwa wanamaliza kazi za usambazaji umeme vijijini ifikapo tarehe 31 Disemba mwaka huu. Dkt Medard Kalemani aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa kikao chake na Wafanyakazi, Menejimenti na Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma […]

MKOA WA SINGIDA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

DKT.KALEMANI ATOA MWEZI MMOJA NGUZO ZILIZOHIFADHIWA ZISAMBAZWE

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewagiza mameneja wa Shirika la Umeme Nchini(TANESCO)wote nchini kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja wanasambaza kwa wateja  nguzo zote za akiba zilizohifadhiwa  katika vituo na maeneo mbalimbali nchini. Kalemani alisema hayo, Septemba 28,2019, baada ya kuona nguzo zaidi ya Elfu mbili zikiwa zimehifadhiwa katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme […]

JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

KUWA NA UMEME WA KUTOSHA HAKUMAANISHI TUSIWEKEZE ZAIDI – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema kwa sasa Tanzania ina umeme mwingi kiasi cha kuwa na ziada ya takribani megawati 300 kwa siku; lakini amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika sekta husika na kuzalisha umeme mwingi zaidi. Aliyasema hayo, Septemba 25, 2019 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Warsha na Mkutano Mkuu wa Mwaka […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WAZIRI KALEMANI AAGIZA BEI YA GESI ASILIA IPITIWE UPYA

  Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameziagiza Mamlaka zote zinazohusika na upangaji wa bei ya gesi asilia, kufanya mapitio upya ili kuja na bei itakayozinufaisha pande zote yaani serikali na wawekezaji. Alitoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti, Septemba 24 mwaka huu, alipofanya ziara katika kiwanda cha kutengeneza vigae cha Goodwill na kiwanda cha kufua […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

SERIKALI MBIONI KUJENGA MITAMBO MIPYA YA UMEME MKOANI MTWARA

Katika kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mtwara unakuwa na umeme wa uhakika kwa muda wote, Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaeleza wafanyabishara na wawekezaji wa Mkoa huo kuwa, Serikali ipo mbioni kujenga mitambo miwili mipya ya umeme Alisema hayo, Septemba 25, 2019 wakati alipokuwa ajibu hoja za wadau wa maendeleo katika  mkutano uliolenga kusikiliza  changamoto […]

GESI ASILIA NCHINI MAFUTA NA GESI ASILIA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

SERIKALI KUVUNA MABILIONI KUPITIA USAMBAZAJI GESI ASILIA VIWANDANI

Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), inatarajia kukusanya kati ya shilingi milioni 85 hadi 120 kwa mwezi, sawa na shilingi bilioni 1.02 hadi 1.4 kwa mwaka kutokana na matumizi ya gesi asilia katika kiwanda cha Lodhia kilichopo Mkuranga, ambayo hadi sasa ni futi za ujazo laki mbili kwa siku. Hayo […]