JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ ULINZA WA WATU NA MALI ZAO UZALISHAJI MALI JKT WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

JWTZ WATUMIA NDEGE YA ATCL KUSAFIRISHA WAPIGANAJI KUISHIRIKI ULINZI WA AMANI DARFUR

Maafisa na Askari wa jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanaoshiriki Ulinzi wa Amani katika  Jimbo la Darfur nchini Sudan kwa Mara ya kwanza  kwa kipindi cha Miaka 10 ya Ulinzi wa Amani Jimboni humo wametumia Ndege ya Shirika la Ndege ya  Serikali ya ATCL ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Mhe Rais […]

JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA Sisi Ni Tanzania MpyA+ Tanzania MpyA+ Utumishi uzalendo UZALISHAJI MALI JKT ZIARA

MKUU WA JKT AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIKOSI CHA MAFINGA JKT

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania (JKT) Meja Jenerali Martin Busungu Ijumaa tarehe 05/10/2018 ametembelea kikosi cha JKT Mafinga na kukagua shughuli mbalimbali za uzalishaji mali zinazofanywa na kikosini hapo.   Ziara hiyo ya Mkuu wa jeshi la Kujenga Taifa ni muendelezo wa ziara zake za kujitambulisha na kujionea shughuli za uzalishaji mali kwenye […]