Waziri Mkuu

Uzinduzi wa mifumo ya kidijitali una mchango gani katika uimarishaji wa utawala bora?

Serikali imezindua rasmi mifumo ya kidijitali kwenye taasisi za umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, kuongeza ufanisi, na kupunguza urasimu. Hatua hii inachukuliwa kama sehemu ya jitihada za serikali za kuendana na maendeleo ya kiteknolojia na kuweka mazingira bora ya utawala wa kisasa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, aliongoza …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa za elimu ya juu kwa kada hiyo. “Serikali imefanya upanuzi wa taasisi za mafunzo ya afya ili kuongeza idadi ya wahitimu. Taasisi hizo ni pamoja na vyuo …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja wa Kawawa, mkoani Kigoma. Uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchini nzima. Mikoa ambayo inaanza uboreshaji wa daftari hilo leo Julai 20, 2024 hadi …

Soma zaidi »

Kongamano la JUMIKITA 2024, Kujadili Mchango wa Miaka Mitatu ya Rais Samia na Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania.

Tarehe 21 Mei 2024, Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) limepata heshima ya kuwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kama mgeni rasmi. Kongamano hili ni jukwaa muhimu ambalo linawakutanisha wanahabari wa mitandao ya kijamii kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania ili kujadili masuala muhimu ya kijamii, …

Soma zaidi »

WIZARA, TAASISI ZAAGIZWA KUZINGATIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati isiyo safi. Agizo hilo limetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo (Mei 8, 2024) Jijini Dar es salaam …

Soma zaidi »