Falsafa ya uongozi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, inajikita katika maadili, utendaji wenye tija, na maendeleo ya jamii. Uwajibikaji na Uadilifu Mhe. Kassim Majaliwa anasisitiza uwajibikaji na uadilifu katika uongozi wake. Anaamini katika kuwa mfano bora wa kuigwa kwa viongozi wenzake na jamii …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la wa jengo la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA). Ujenzi wa jengo hilo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 6.17 na linatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2025.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kumuwakilisha Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kwenye Kikao Cha Wakuu Wa Nchi Na Serikali Zisizofungamana Na Upande Wowote (NAM)
Mhe Kassim Majaliwa Akiweka Jiwe La Msingi La Hospitali Kaskazini Unguja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”- Pangatupu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ujenzi wake umegharimu Tsh Bil. 6.7. Hii ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua moja ya mtambo uliotolewa na Serikali kwa Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini, (RUWASA) kwa ajili ya kuchimba visima Mkoani humo, alipofanya ziara katika ofisi za Mamlaka hiyo Januari 8, 2024.
PIKIPIKI ZILIZOTELEKEZWA KWA MIAKA MITATU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua pikipiki zilizotelekezwa kwenye stoo ya Wakala wa Maji na usafi na Mazingira Vijijini, Mkoa wa Lindi, alipofanya ziara katika ofisi zao. Pikipiki hizo zilinunuliwa mwaka 2021 kwa ajili ya kuzigawa kwa Jumuiya za Watumiaji maji Mkoa wa Lindi.
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameungana na Wana-Ruangwa kufuatilia salam za mwaka mpya zilizotolewa na Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
TANZANIA KINARA MASUALA YA MAAFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia utoaji wa huduma na misaada ya kibinadamu kwa nchi wanachama. …
Soma zaidi »TANZANIA KUISAIDIA MSUMBIJI KUKOMESHA VITENDO VYA KIGAIDI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi katika nchi hiyo. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Machi 24, 2022) alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina wa maeneo ambayo yatawezesha upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yote yenye changamoto ya maji katika wilaya hiyo. Amesema Serikali inayoongozwa na mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha huduma ya maji safi …
Soma zaidi »