Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 357 kwa vikundi vitano vya wajasiriamali vilivyotolewa kwa mkopo na Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ikiwa ni asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri. Pia, Waziri Mkuu amepokea msaada wa madawati 100 yenye thamani ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU RIPOTI YA WATUMISHI WANAOISHI NJE YA VITUO VYAO IMFIKIE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ifuatilie Halmashauri zilizopaswa kuhamia kwenye maeneo yake na impatie taarifa ifikapo Jumamosi, Februari 6, 2021. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Februari 4, 2021) wakati akijibu swali la mbunge wa Geita Vijijini, Joseph …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIONGOZI WA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI WAENDELEZWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema viongozi wote wa Sekta za umma na binafsi wanatakiwa waendelezwe kitaaluma kwa ajili ya kukuza weledi, ubunifu na maadili ili waweze kusimamia ipasavyo maendeleo na kuongeza tija na mapato ya Taifa. Amesema katika kipindi hiki ambacho nchi imeingia katika uchumi wa kati, Serikali ingependa kuona …
Soma zaidi »AMANI NA USALAMA NI MUHIMU KWA KUVUTIA WAWEKEZAJI – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mwongozo wa uwekezaji mkoa wa Iringa na amesema kwamba Serikali itaendelea kudumisha amani na utulivu ambao ni muhimu kwa wawekezaji na wananchi, hivyo ametoa wito kwa wawekezaji wasisite wa ndani na nje kuwekeza nchini. Amesema uwekezaji ni tegemeo la Taifa katika kukuza uchumi wake na kuongeza ajira, …
Soma zaidi »MAJALIWA – SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUFUA ZAO LA MKONGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kufufua zao la mkonge nchini, hivyo amewataka Watanzania wachangamkie fursa hiyo kwa kujenga viwanda vya kuchakata bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao hilo kama sukari, dawa, vinywaji, mbolea na nyuzi. Ametoa kauli hiyo Alhamisi, Januari 21, 2021 wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AAGIZA KODI NA TOZO ZA MKONGE ZIFANYIWE MAPITIO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ifanye mapitio ya kodi na tozo zote zilizopo katika zao la mkonge kwa lengo la kubaini ni zipi zenye manufaa kwa wadau na Taifa na kuainisha zisizokuwa na tija ili zifanyiwe mchakato wa kuondolewa. Pia, Waziri Mkuu alizitaka taasisi za kifedha nchini ziendelee …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya …
Soma zaidi »UWEPO WA REGISTA YA WATU WENYE ULEMAVU ITACHANGIA UPATIKANAJI WA HUDUMA BORA KWA WENYE ULEMAVU NCHINI – NAIBU WAZIRI UMMY
Uwepo wa rejista ya Watu wenye Ulemavu nchini utachangia upatikanaji wa huduma bora kwa kundi hilo lenye mahitaji maalum sambamba na kutambua mahali wanapoishi, aina ya ulemavu walionao, hali zao za kimaisha na namna ya kuwawezesha kupata mikopo ya asilimia 2 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA BARABARA YA MATEMWE -MUYUNI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58 iliyojengwa na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kutoka China kwa gharama ya shilingi bilioni 5.48 zikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). “Barabara hii ni kiungo muhimu kwa wananchi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA – UBORA WA MIRADI ULINGANE NA THAMANI YA FEDHA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini lazima isimamiwe vizuri ili kuhakikisha inakuwa na viwango vinavyoendana na thamani ya fedha iliyotolewa na Serikali. “Maelekezo ya Serikali kwenye maeneo yote muhimu ya miradi isimamiwe kwa kina na hasa thamani ya fedha na viwango vya ujenzi wa …
Soma zaidi »