IDARA YA HABARI MAELEZO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO

KATIBU MKUU DKT. ABBASI ASISITIZA MAGEUZI YA KIUTENDAJI KWA MENEJIMENTI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt.Hassan Abbasi amewataka viongozi wa menejimenti wa Wizara hiyo kufanya mageuzi kwa kuwa sekta za wizara  hiyo zimebeba ushawishi mkubwa kwa nchi  na dunia. Dkt.Abbasi ametoa kauli hiyo Jijini Dodoma baada kuwasili katika ofisi ya wizara hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba na kufanya mazungumzo na viongozi […]

IDARA YA HABARI MAELEZO IKULU JESHI LA ZIMA MOTO KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAGEREZA MAHAKAMA MAWASILIANO IKULU NAIBU WAZIRI WA NISHATI Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Febuari, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwemo  Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Makatibu Tawala wa mikoa, Kamishina Jenerali wa Magereza na Kamishna Jenerali wa zimamoto na uokoaji, Kamishina wa ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Msajili […]

IDARA YA HABARI MAELEZO IKULU KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Rais Rais Live Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI Ziara za Rais Magufuli

LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao A. MAKATIBU WAKUU 1. Bi. MARY GASPER MAKONDO – kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mary Gasper Makondo alikuwa Kamishna wa Ardhi katika Wizara […]

Bunge Bunge La Tanzania IDARA YA HABARI MAELEZO Michezo Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO

WAZIRI MWAKYEMBE AWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi kujitokeza kuchangia ujenzi wa viwanja vya michezo ambavyo vitasaidia katika kuibua vipaji vya michezo kwa vijana. Mheshimiwa Mwakyembe ametoa kauli hiyo leo bungeni Jijini Dodoma alipokuwa kijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa […]

Bunge Bunge La Tanzania Michezo Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

NAIBU WAZIRI SHONZA: WAZAZI NDIYO WALEZI WA KWANZA WA MTOTO

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amewataka wazazi na familia kuwa walezi wa kwanza kwenye jukumu la kumlea mtoto. Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la  Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mgeni Jadi Kadika (CUF) lilikokuwa likisema serikali haioni sasa ni wakati muafaka kwa vijana wetu […]

IDARA YA HABARI MAELEZO SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa kuwa na mipango, sera, viwango na mifumo ya pamoja ya kisheria itakayorahisha utoaji wa huduma za usafirishaji wa bidhaa na kukuza biashara ndani ya Ukanda huo. Akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya hiyo wanaosimamia sekta za Tehama, Habari, Uchukuzi na […]