GESI ASILIA NCHINI MAFUTA NA GESI ASILIA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

MAGARI YANAYOTUMIA GESI YAONGEZEKA NCHINI

  Serikali imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari nchini yamezidi kukua ambapo kwa sasa idadi imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo, mwaka 2017. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio, jijini Dodoma, leo Agosti 21, 2019  wakati akiwasilisha taarifa kwa Kamati ya […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

SERIKALI YAJA NA MRADI MPYA WA UMEME

Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imezindua rasmi mradi mpya wa umeme unaolenga kupeleka nishati hiyo katika maeneo yaliyoko pembezoni mwa miji. Waziri mwenye dhamana ya sekta hiyo, Dkt Medard Kalemani, kwa nyakati tofauti wiki hii, amezindua mradi husika unaojulikana kwa jina la kigeni kama ‘Peri-Urban’ katika Wilaya tofauti za Mkoa wa Pwani na kubainisha kuwa […]

MKOA WA MANYARA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

NI MARUFUKU WANANCHI KULIPIA NGUZO – WAZIRI KALEMANI

  Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amesema wananchi hawapaswi kulipia nguzo wanapotaka kuunganishiwa umeme kwani hilo ni jukumu la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza kwa nyakati tofauti, jana Julai 28, 2019 akiwa ziarani katika Wilaya za Babati na Mbulu mkoani Manyara, Waziri alitoa onyo kwa mtumishi yeyote wa TANESCO atakayebainika kutomuunganishia umeme mteja […]

BODI YA UTALII TANZANIA IKULU John Pombe Joseph Magufuli Kassim Majaliwa KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MAWASILIANO IKULU MKOA WA PWANI MTO RUFUJI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Rais Rais Live Tanzania MpyA+ UTALII TANZANIA Waziri Mkuu WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI Ziara za Rais Magufuli

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI KATIKA MTO RUFIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Julai, 2019 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji Mkoani Pwani ambao utakamilika Juni 2022 na kuzalisha megawati 2,115. Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi huo zimefanyika kando ya eneo […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UJENZI WA STIEGLER'S GORGE UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

FUAD: TUKO TAYARI KUPOKEA NAKUSAFIRISHA MIZIGO NA VIFAA VYA UJENZI MRADI WA UMEME RUFUJI.

Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini Tanzania, Fuad Abdallah amasema kuwa Serikali ya jamuhuri […]

MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

NI MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI SIYO STIEGLER’S – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewasihi watanzania kuwa wazalendo kwa kuacha kuuita mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Rufiji kwa jina la Stiegler’s badala yake wauite kwa jina lake halisi la kizalendo. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti jana, Julai 24, 2019 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro na […]

MKOA WA TABORA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

MAMENEJA WA TANESCO WATAKIWA KUUNGANISHA WATEJA KWA SHILINGI 27,000/= VIJIJINI.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema mameneja wa Shirika la Umeme nchini, (Tanesco) waongeze idadi ya wateja kwa kuwaunganishia huduma ya umeme wananchi waliopo vijijini kwa bei ya shilingi 27,000. Hatua hiyo ni kigezo cha kupima utendaji kazi wa mameneja hayo katika Kanda,Mikoa pamoja na Wilaya mbalimbali nchini. Mgalu alisema hayo kwa nyakati tofauti, […]

MKOA WA KAGERA MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA NISHATI

WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIZINGA WILAYANI MULEBA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewasha rasmi umeme katika kijiji cha Kizinga, Kata ya Bulyakashaju wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera Julai 17, 2019 na kuibua shangwe kwa wananchi wa eneo hilo. Tukio hilo lilifanyika katika nyumba ya mmoja wa wakazi wa kijiji hicho, Venancia Joanes ambaye alikiri mbele ya Waziri kuwa alilipia shilingi 27,000 […]