WIZARA YA AFYA

SERIKALI YAANZISHA MADAWATI YA ULINZI KWA WATOTO MASHULENI

Na. Catherine Sungura, WAMJW-DodomaWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Ulinzi wa Watoto katika shule za msingi na sekondari nchini.Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa kuwasilisha taarifa ya …

Soma zaidi »

HAKIKISHENI WATOTO WANAPATA TIBA SAHIHI PINDI WANAPOUGUA – MTAALAMU KUTOA PASS

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wameshauriwa  kuwapeleka  watoto wao katika vituo vya afya kwa ajili ya uchunguzi na matibabu stahiki pindi watakapoonesha viashiria  vyovyote vya ugonjwa. Wito huo umetolewa leo na kiongozi wa kikundi cha wanawake kutoka Taasisi binafsi ya kuwezesha sekta ya kilimo …

Soma zaidi »

TATHMINI YAFICHUA HASARA YA BILIONI1.6 UPANUZI HOSPITALI YA TUMBI

Na.Catherine Sungura,KibahaUchunguzi wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi umeonesha hasara ya shilingi bilioni 1.6. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima wakati akipokea tathmini …

Soma zaidi »

WAGONJWA WANNE WA MOYO WAWEKEWA KIFAA CHA KUSADIA MOYO KUFANYA KAZI

Wagonjwa wanne wenye matatizo ya kutanuka kwa moyo, uwezo wa moyo kusukuma damu kuwa chini ya asilimia 50, mfumo wa umeme wa moyo kuwa na shida iliyopelekea moyo kutokufanya kazi sawasawa wamewekewa kifaa cha  kuusadia moyo kufanya kazi vizuri kijulikanacho kitaalamu kwa jina la Cardiac Resynchronization Therapy Device – CRT-D. …

Soma zaidi »

ONGEZENI KASI KATIKA HUDUMA ZA MAABARA: DKT. MHAME

Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWataalam wa Maabara nchini wametakiwa kuongeza kasi katika kuhakikisha huduma za tiba inayotolewa inafuata miongozi ya wizara na kuhakikisha wanabadili fikra na mitazamo ili kuwafanya wateja wao waweze kuvutiwa na huduma wanazozisimamia. Hayo yamesemwa leo na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa …

Soma zaidi »