WIZARA YA AFYA

WANANCHI WAMESHAURIWA KUJENGA TABIA YA KUPIMA AFYA ZAO MARA KWA MARA

Wananchi wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara kwa kufanya hivyo watatambua kama wana maradhi au la na kama wana maradhi wataweza  kupata huduma za matibabu kwa wakati. Pia wameombwa kuwa na bima ya afya ambazo zitawasaidia kupata matibabu pindi watakapouguwa  kwani maradhi huja muda wowote, wakati …

Soma zaidi »

TANZANIA KUWA NA VIWANDA VISIVYOPUNGUA 30 VYA DAWA NA VIFAA TIBA,VIWANDA 14 VIKO TAYARI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Bw.Adam Fimbo akizungumza jambo wakati wa kufunga kikao kazi cha Wahariri na Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro kilichofanyika mkoani Morogoro kilichoandaliwa na TMDA. Tanzania katika kuhakikisha inatimiza azma ya kuwa nchi ya viwanda na …

Soma zaidi »

NGOs ZAKUMBUSHWA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Na Mwandishi Wetu Iringa Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) imeyataka Mashirika hayo kuwasilisha taarifa za kila robo mwaka zinazoonesha fedha na kazi wanazozifanya kwa Msajili ili aweze kujua miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yalipo Mashirika hayo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya msajili …

Soma zaidi »

KULINDA AFYA KWA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA, ULAJI UNAOFAA, KUFANYA MAZOEZI – PROF. JANABI

Kulinda afya kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha, ulaji unaofaa, kufanya mazoezi, kuchunguza afya mara kwa mara na kuepukana na mtindo usiofaa wa maisha, ni siri pekee itakayowawezesha Watanzania kufurahia ‘matunda’ Tanzania kuingia nchi zenye Uchumi wa Kati. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni  na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA HUSUSANI KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIBINGWA – NAIBU WAZIRI MOLLEL

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ametembelea na kukagua hali ya utaoaji wa huduma katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na kuzumza na watumishi ili kufahamu changamaoto mbalimbali wanazozipata katika kutekeleza majukumu yao ya kazi za kila siku. Akizungumza na …

Soma zaidi »