Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Kikao cha Kamati ya pamoja ya Wataalamu wa mipaka kati ya Tanzania na Kenya kimeanza leo tarehe 11 April 2022 wilayani Tarime mkoa wa Mara. Kikao hicho cha Kamati ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili kinachotarajiwa kumalizika April 15, 2022 wilayani humo kitapokea mawasilisho ya …
Soma zaidi »WAZIRI DKT MABULA AONYA WANAOTEGESHA KUPATA FIDIA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na uongozi pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi wilayani ya Sengerema mkoani Mwanza kabla ya kuzindua Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya tarehe 21 Machi 2022. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline …
Soma zaidi »SERIKALI YABAKISHA VIJIJI 40 VILIVYOKUWA MAENEO YA HIFADHI DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM CHEMBA Serikali imevibakisha vijiji 40 kati ya 42 ambavyo wananchi wake walikuwa wakiishi na kuendesha shughuli zao kwenye maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba katika mkoa wa Dodoma. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wananchi wa vijiji hivyo kuendelea na shughuli zao baaada ya kuwepo mgogoro wa …
Soma zaidi »MAWAZIRI NANE KUANZA ZIARA KUTOA MAJIBU YA MIGOGORO YA ARDHI MIKOA KUMI
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Mawaziri nane wa kisekta wakioongozwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kesho tarehe 5 Oktoba 2021 wataanza ziara ya mikoa kumi kwa ajili ya kutoa matokeo ya utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 920. Akizungumza na Waandishi …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA SENSA YA NYUMBA NA MAJENGO
Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali iko katika maandalizi ya kufanya sensa ya nyumba na majengo kote nchini. Sensa hiyo itafanyika sanjari na Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwezi Oktoba, 2022. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani …
Soma zaidi »DKT MABULA AHIMIZA KASI YA UPIMAJI ARDHI BAHI
Na Munir Shemweta, BAHINaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Bahi mkoani Dodoma kuongeza kasi ya upimaji ardhi katika maeneo mbalimbali ili kuepuka ujenzi holela.Alisema, kwa sasa maeneo mengi katika halmashauri hiyo yamepanuka kimji na hivyo kuhitaji kupangwa vizuri kwa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI DKT MABULA AITAKA CHEMBA KUANZA MKAKATI WA KUANDAA MPANGO KABAMBE
Na Munir Shemweta, CHEMBA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Chemba mkoani Dodoma kuanza mikakati ya kuandaa Mpango Kabambe katika halamashauri hiyo. Dkt Mabula alisema hayo tarehe 21 Septemba 2021 wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AZINDUA MPANGO KABAMBE MJI WA GEITA
Na Munir Shemweta, GEITA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Mpango Kabambe wa Mji wa Geita 2017-2037 na kuitaka halmashauri ya mji huo kuhakikisha inasimamia utekelezaji wa mpango huo bila kuruka hatu za utekelezaji. Alisema, mkoa wa Geita umebahatika kuwa na shughuli nyingi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUHAMASISHA URASIMISHAJI
Sehemu ya Watendaji wa sekta ya ardhi na wawakilishi wa Kampuni za Upangaji na Upimaji wakiwa katika kikao kilichofanyika Chuo cha Mipango jijini Dodoma jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kutumia njia mbalimbali katika kuhamasisha zoezi …
Soma zaidi »KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA CHAONGEZA UFANISI UTENDAJI KAZI ARDHI
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeboresha kituo chake cha Huduma kwa Wateja kwa lengo la kuwarahisishia wananchi kupata huduma za sekta ya ardhi kwa haraka na kwa ufanisi. Kwa sasa kituo hicho kinahudumia idadi kubwa ya wateja wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tofauti na …
Soma zaidi »