NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU SEKTA YA ELIMU KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
HESLB NA TASAF KUWEZESHA WANAFUNZI WA KAYA MASKINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo ameitaka Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii kuendeleza mashirikiano yaliyopo ili kuhakikisha watanzania wahitaji wenye sifa za kujiunga na elimu ya juu wanawezeshwa. Akizungumza katika Hotuba …
Soma zaidi »SERIKALI KUJENGA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KITAKACHOCHUKUA WANAFUNZI 5,000
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwilapo na Maneja wa Kampuni ya CRJE East Afrika Ltd tawi la Tanzania Xu Cheng wakitia saini mkataba wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Dodoma katika hafla ya utiaji iliyofanyika Jijini Dodoma. Wanaoshuhudia katika picha ni watumishi wa wizara …
Soma zaidi »DK. AKWILAPO AIPONGEZA CSSC KWA KUTOA ELIMU BORA NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk.Leonard Akwilapo, ameipongeza Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii(CSSC),kwa mchango wake katika sekta ya elimu nchini huku akiahidi serikali kufanyia kazi maoni yanayotolewa ikiwamo kupunguza kwa mitihani ya majaribio. Akifungua leo Mkutano wa mwaka cha Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi …
Soma zaidi »WAZIRI ELIMU NDALICHAKO AKAGUA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA
Muonekano wa baadhi ya majengo yanayojengwa katika Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Mkoani Kagera Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa ujenzi wa Chuo kipya cha Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (VETA) katika Mkoa wa Kagera. Profesa Ndalichako amefanya ukaguzi huo Januari 9, …
Soma zaidi »WALIMU WAHAMASISHWA KUJIENDELEZA KIELIMU
Na Veronica Simba Serikali imewahamasisha Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini, kujiendeleza kielimu katika ngazi mbalimbali ili kuboresha zaidi utendaji wao wa kazi. Wito huo umetolewa jijini Dodoma leo, Januari 7, 2021 na Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Moses Chitama wakati akizungumza na Wajumbe …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA ELIMU, ATEMBELEA OFISI ZA BODI YA MIKOPO
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru akimkakaribisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam wakati wa alipofanya ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini …
Soma zaidi »