1. Umaarufu wa Land Rover: Land Rover ni chapa inayohusishwa na ubora wa magari ya hali ya juu, hasa kwa safari za nje ya barabara (off-road). Maonyesho haya yanasisitiza umaarufu wa gari hili sio tu kwa wapenzi wa magari lakini pia kwa sekta ya biashara, utalii, na uchukuzi wa mizigo …
Soma zaidi »Je! Unafahamu mchango wa Ruvuma Katika kutunza Maliasili na Kudumisha Mila na Desturi za Tanzania?
WAZIRI NDUMBARO AMUONGEZEA FAINI SHILINGI MILIONI 5 BABU WA TIKTOK, ATOA WIKI MBILI ALIPE
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 kwa msanii Seif Kisauji maarufu (Babu wa TikTok) akimtaka msanii huyo aombe msamaha hadharani kutokana na kosa la kurusha maudhui ya sanaa yanayokiuka maadili mtandaoni. Waziri Ndumbaro ametoa uamuzi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA KURUSHIA MATANGAZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya Azam Media Limited. Vifaa hivyo ni pamoja na Magari ya kisasa ya kurushia matangazo (OB Van), kamera za kisasa pamoja na mfumo wa kusaidia maamuzi viwanjani (VAR). Vifaa hivyo …
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kupokea Ripoti ya Kamati Maalum kuhusu Vyombo vya Habari Tanzania, Hatua za Kukuza Uhuru na Utendaji Bora.
Hatua ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kukutana na kupokea ripoti kutoka kwa Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza hali ya utendaji na uchumi katika vyombo vya habari nchini Tanzania Bara. Fafanuzi wa tukio hili ni kama ifuatavyo: Kamati Maalum na Utendaji wa Vyombo vya Habari, …
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars jioni hii kwa njia ya simu na kuwapa moyo kuelekea mchezo wao wa leo na timu ya Taifa ya Morocco ikiwa ni mechi yao ya kwanza katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON2023.
NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU SEKTA YA MICHEZO KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHNAYA+
Soma zaidi »MAKALA SAFARI YA RAIS SAMIA WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO
WAZIRI NAPE AANZA ZIARA KUKAGUA MWENENDO WA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye leo ameanza ziara ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa Operesheni ya Anwani za Makazi katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza ziara hiyo jijini Dodoma, Waziri Nape amesema tathmini inaonesha utekelezaji …
Soma zaidi »DKT. YONAZI AMELIKUMBUSHA JESHI LA POLISI WAJIBU WA KUJIFUNZA NA KUTOA ELIMU YA USALAMA MTANDAO
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) CP Camilius Wambura akizungumza wakati wa mafunzo ya Usalama Mtandao kwa Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa, Wakuu wa Vikosi na Wakuu wa Madawati ya Upelelezi wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani), yaliyofanyika leo tarehe 21 Machi 2022, jijini Dodoma. Katibu Mkuu …
Soma zaidi »