Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia Septemba 16 hadi 18, 2021 huku uzinduzi rasmi ukifanyika Jumamosi, Septemba 18. Katibu Mkuu Dkt. …
Soma zaidi »WAZIRI AWESO AITUMIA BASHUNGWA CUP KUWAPA MBINU WABUNGE
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametoa rai kwa wabunge hapa nchini kuziomba mamlaka zinazowazunguka kuboresh miundombinu ya michezo ikiwa ni pamoja na viwanja vya michezo katika maeneo yao ili kuwa katika viwango vinavyotakiwa. Mhe. Aweso amefafanua kwamba endapo viwanja vya michezo vitakuwa katika viwango vinavyotakiwa, hali hiyo itawafanya vijana …
Soma zaidi »BASATA, BODI YA FILAMU NA COSOTA ZAAGIZWA KURATIBU VYEMA SUALA LA UHAKIKI WA WASANII
Na Richard Mwamakafu, Arusha Waziri ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Innocent Bashungwa amezitaka taasisi za Barazala la Sanaa la Taifa (BASATA) Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na Bodi ya Filamu (TBF) kufanya uhakiki wa kazi za sanaa kwa utaratibu ambao haukwamishi kazi za wasanii nchini. Mhe. Bashungwa amesema …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA MAENEO YA MICHEZO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Halmashauri zote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi katika halmashauri hizo kusimamia vyema miundombinu ya michezo na kuhakikisha maeneo ya michezo hayavamiwi. Jafo ameyasema hayo Februari 08, 2021 jijini Dodoma katika kikao …
Soma zaidi »CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHASAINI MKATABA NA TFF KUENDELEZA SOKA NCHINI.
Na: Eleuteri Mangi- WHUSM, Arusha. Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Soka nchini (TFF) ili kuendelea kukuza michezo nchini. Rais wa TFF Wales Karia Kushoto na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Prof. Eliamani Sedoyeka Kulia Wakionesha Mkataba wa Ushirikiano Waliosaini Kuendeleza …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WANAMUZIKI
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO) litakalofanyika Februari 13, 2021 jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana Katibu Mkuu wa TAMUFO, Stella Joel alisema pamoja na mambo mengine Bashungwa atatoa kadi za …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA: SEKTA ZA WIZARA YA HABARI NI MIHIMILI MUHIMU NCHINI
Na Shamimu Nyaki – WHUSM Sekta za Wizara ya Habari ni sekta muhimu zenye mchango mkubwa katika kuchangia uchumi wa nchi na kuleta maendeleo. Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma na Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa wakati akiwasilisha Muundo pamoja na Majukumu ya Wizara hiyo …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA AAHIDI KUPIGANI HAKI ZA WAANDISHI, ASISITIZA UZALENDO
Na A Suleiman Msuya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema atatumia nafasi yake kutetea haki za waandishi wa habari nchini huku akisisitiza uzalendo na utaifa kwa kada hiyo. Kauli ya Waziri Bashungwa inakuja baada ya kuwasikiliza waandishi walioshiriki mjadala wa pamoja kuhusu changamoto wanazopitia katika kutekeleza …
Soma zaidi »RADIO KIJAMII ZAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI
Na Immaculate Makilika- MAELEZO Redio za kijamii zimeaswa kufanya kazi kwa ufanisi sambamba na kuzingatia maadili ya utangazaji hasa katika kipindi hiki cha kidigitali. Akizungumza hivi karibuni jijini Dodoma, Afisa Habari kutoka Idara ya Habari- MAELEZO, Jonas Kamaleki wakati akifungua mafunzo maalumu yanayohusu masoko kwa kutumia mifumo ya kidigitali yalioandaliwa …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA: TUNATAKA MIPANGO NA MIKAKATI YA VYAMA VYA MICHEZO, KAZI IMEANZA
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amemwaleza Waziri Mstaafu wa Wizara hiyo, Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa yeye na Naibu wake, Abdallah Ulega, wameanza kazi mara na moja ya mageuzi watakayoyaendeleza ni kutaka kuona michezo inakuwa na …
Soma zaidi »