WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

WAZIRI BASHUNGWA: SEKTA ZA WIZARA YA HABARI NI MIHIMILI MUHIMU NCHINI

Na Shamimu Nyaki – WHUSM  Sekta za Wizara ya Habari ni sekta muhimu  zenye  mchango mkubwa katika kuchangia uchumi wa nchi na kuleta  maendeleo.  Hayo yamesemwa  leo Jijini Dodoma na Waziri  wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa wakati akiwasilisha Muundo pamoja na Majukumu ya Wizara hiyo …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA AAHIDI KUPIGANI HAKI ZA WAANDISHI, ASISITIZA UZALENDO

Na A Suleiman Msuya Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema atatumia nafasi yake kutetea haki za waandishi wa habari nchini huku akisisitiza uzalendo na utaifa kwa kada hiyo. Kauli ya Waziri Bashungwa inakuja baada ya kuwasikiliza waandishi walioshiriki mjadala wa pamoja kuhusu changamoto wanazopitia katika kutekeleza …

Soma zaidi »

RADIO KIJAMII ZAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI

Na Immaculate Makilika- MAELEZO Redio za kijamii zimeaswa kufanya kazi kwa ufanisi sambamba na kuzingatia maadili ya utangazaji hasa katika kipindi hiki cha kidigitali. Akizungumza hivi karibuni jijini Dodoma, Afisa Habari kutoka Idara ya Habari- MAELEZO, Jonas Kamaleki wakati akifungua mafunzo maalumu yanayohusu masoko kwa kutumia mifumo ya kidigitali yalioandaliwa …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA: TUNATAKA MIPANGO NA MIKAKATI YA VYAMA VYA MICHEZO, KAZI IMEANZA

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amemwaleza Waziri Mstaafu wa Wizara hiyo, Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa yeye na Naibu wake, Abdallah Ulega, wameanza kazi mara na moja ya mageuzi watakayoyaendeleza ni kutaka kuona michezo inakuwa na …

Soma zaidi »

SERIKALI YAJA NA MFUMO BORA WA HAKIMILIKI KWA WASANII NA WABUNIFU

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ameahidi kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuboresha mifumo ya hakimiliki ili kuhakikisha wasanii wa mawanda mbalimbali wananufaika kila kazi zao za ubunifu zinapotumika iwe kwenye redio, TV, mitandaoni na kila sehemu ya biashara. Dkt. Abbasi …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …

Soma zaidi »

MILIONI 150 ZABORESHA MIUNDOMBINU CHUO CHA MICHEZO MALYA.

Na Shamimu Nyaki – WHUSM Serikali imetoa takriban Milioni 150 kukarabati miundombinu ya viwanja vya michezo pamoja na ujenzi wa kisima cha maji katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambacho ndio chuo pekee nchini kinachozalisha walimu wa sekta hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalumu, Mkuu wa Chuo hicho Bw.Richard Mganga …

Soma zaidi »