Bunge Bunge La Tanzania Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma Mhimili wa Bunge MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA SHERIA NA KATIBA

SERIKALI YAOKOA MABILIONI UENDESHAJI MASHAURI YA MADAI

Serikali imesema mabadiliko kwenye sekta ya sheria nchini hususani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu yameanza kuleta tija baada ya kuongeza ufanisi na kuokoa fedha ambazo hapo awali zilikuwa zikitumika kuwalipa mawakili binafsi. Akijibu swali la Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kuebenea ambae alitaka kujua kiasi cha fedha ambacho serikali imeokoa tangu maboresho kwenye sekta hiyo yaanze […]

Bunge Bunge La Tanzania KILIMO Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI KILIMO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA KILIMO

SERIKALI KUFANYA UTAFITI NA TATHMINI KUHUSU MAJI KUJAA KWENYE MASHAMBA

Serikali imearifu kuwa inafanya utafiti na tathmini ya kina ya maji kujaa kwenye mashamba ya wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 10 Juni 2019 wakati akijibu swali la Mhe Yahaya Omary Massare wa Jimbo la Manyoni Magharibi aliyetaka kufahamu serikali ina mpango […]

BANK YA CRDB JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI ANTHONY MAVUNDE WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

CRDB BENKI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWEZESHA MITAJI KWA WAJASIRIAMALI VIJANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Majid Nsekela ameipongeza Serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Watanzania na hivyo katika kuunga mkono juhudi za serikali Benki ya CRDB ipo tayari kushirikiana na Serikali katika kuwawezesha mitaji wajasiriamali […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

UJENZI WA BARABARA NJIA SITA KUANZIA KIMARA WAFIKIA ASILIMIA 28

Serikali haijasitisha ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Dar – Chalinze¬† bali ujenzi huo unaendelea kwa awamu na kwasasa ujenzi huo umefikia asilimia 28 kwa awamu ya kutoka Kimara mpaka Kibaha na mkandarasi anaendelea yupo eneo la kazi na analipwa vizuri. Hayo yamesemwa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawsiliano¬† Elias Kwandikwa wakati […]