WIZARA YA KILIMO

Kilimo ni Msingi wa Uchumi na Ustawi wa Tanzania.

Kilimo kinachangia zaidi ya asilimia 25% ya pato la taifa la Tanzania. Sekta hii inatoa ajira kwa zaidi ya asilimia 65% ya wananchi wa Tanzania, ikijumuisha wakulima wadogo na wakubwa, na watu wanaojihusisha na shughuli za kilimo. Tanzania ni moja ya nchi zinazozalisha mazao mbalimbali kama vile mahindi, mpunga, maharage, …

Soma zaidi »

SEKTA YA KILIMO TANZANIA: NGUZO YA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII

Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni msingi wa maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii. Sekta hii ina mchango mkubwa katika pato la Taifa, biashara ya nje, na utoaji wa fursa za ajira kwa wananchi. Mchango wa Sekta ya Kilimo Sekta ya kilimo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania, …

Soma zaidi »

Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.

Soma zaidi »

BANDARI YA MTWARA KUTIMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda pamoja na Naibu Waziri, Hussein Bashe wakiwa wameongozana na viongozi wengine wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakikagua utayari wa bandari ya Mtwara kuelekea kuanza msimu wa uuzwaji wa korosho ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni wakati wa ziara ya Waziri Mkenda bandarini hapo, …

Soma zaidi »

PROF MKENDA ATAKA MIKAKATI UBANGUAJI KOROSHO KUFIKIA 60% IFIKAPO 2025

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati  itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025. Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KANGOMBA UNUNUZI WA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Ushirika yaliyofanyika katika ukumbi wa BOT mkoani Mtwara, tarehe 20 Septemba 2021. Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda ametoa onyo kali kwa wanunuzi wa korosho kwa njia isiyo halali maarufu kama ‘Kangomba’ hali …

Soma zaidi »