WIZARA YA MADINI

UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuboresha, kuvutia na kuwakaribisha wawekezaji katika sekta ya madini ili kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Pato la Taifa kwa ujumla. Dkt. Biteko ameongeza kuwa Rais Mhe. Dkt. Samia ametenga …

Soma zaidi »

Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa (GDP)

Sekta ya madini inachangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa (GDP) la Tanzania. Mchango wa sekta hii umeongezeka kutoka asilimia 4.8 ya GDP mwaka 2016 hadi kufikia takriban asilimia 7.3 mwaka 2023-2024. Serikali inalenga kuongezeka kwa mchango wa sekta hii kufikia asilimia 10 ya GDP ifikapo mwaka 2025 kutokana …

Soma zaidi »

Je! Wajua Mchango wa Madini ya Tanzanite katika Pato la Taifa?

Madini ya Tanzanite, yanayopatikana pekee katika eneo dogo la Mererani, Tanzania, ni miongoni mwa rasilimali muhimu zinazochangia pato la taifa kupitia sekta ya madini. Mnamo mwaka 2024, mchango wa madini ya Tanzanite kwenye pato la taifa umeimarika kutokana na hatua kadhaa za serikali na soko la kimataifa. Sekta ya madini …

Soma zaidi »

Utajiri wa Madini wa Tanzania na Nafasi Yake Katika Soko la Kimataifa: Takwimu na Taarifa Muhimu  

Dhahabu Tanzania ni mzalishaji mkubwa wa dhahabu barani Afrika, ikiwa miongoni mwa nchi tano bora zinazozalisha dhahabu barani. Kwa takwimu za mwaka 2020, Tanzania ilikuwa na uzalishaji wa takriban tani 45 za dhahabu kwa mwaka, ikiweka nafasi ya 4 barani Afrika na ya 18 duniani. Tanzanite Maeneo ya Mererani. Tanzania …

Soma zaidi »

WATAALAMU WA GST WAENDELEA NA UTAFITI WA MADINI PEMBA: KUKUZA MAENDELEO ENDELEVU KATIKA SEKTA YA MADINI

Katika utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Wizara ya Madini Tanzania Bara na Wizara ya Nishati, Maji na Madini ya Zanzibar, timu ya wataalamu kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendelea na shughuli za utafiti katika Visiwa vya Pemba. Utafiti huo unalenga kuchunguza rasilimali …

Soma zaidi »

SERIKALI YA TANZANIA NA SEKTA BINAFSI YAFANYA MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA MINING INDABA: KUBORESHA UWEKEZAJI NA KUKUZA SEKTA YA MADINI NCHINI TANZANIA.

Wakati Serikali ya Tanzania na Sekta Binafsi kupitia Chemba ya Migodi Tanzania wakishiriki kwa mara ya kwanza kwa pamoja katika Mkutano wa Mining Indaba nchini Afrika Kusini, wametumia nafasi hiyo kukaa kikao na kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuboresha mazingira ya uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania. Kikao hicho …

Soma zaidi »

DKT. BITEKO AWATAKA WAFANYABIASHARA WA MADINI KUSAJILI MIKATABA NA WABIA WAO TUME YA MADINI

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza na wafanyabiashara wa madini katika Soko Kuu la Dhahabu Mkoani Geita leo Oktoba 6, 2021. (Picha na Steven Nyamiti-WM). Na Steven Nyamiti- WM Wafanyabiashara wa madini wametakiwa kuingia mikataba na wabia wao kwa mujibu wa sheria na kuhakikisha mikataba hiyo inasajiliwa katika ofisi …

Soma zaidi »