WIZARA YA MADINI

GST – WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WANACHUKUA SAMPULI ZA UCHUNGUZI KIHOLELA

Na. Projestus Binamungu Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Mtwara juu ya namna bora ya uchukuaji wa sampuli za uchunguzi na uchenjuaji wa madini, kama sehemu ya kuwawezesha wachimbaji hao kufanya shughuli zao kisasa na kisayansi …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa mbalimbali za Mapambo alipotembelea maonesho ya Shughuli za Madini katika Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO AFUTA LESENI SITA ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI CHUNYA

Na, Tito Mselem, Chunya Waziri wa Madini Doto Biteko, amefuta leseni Sita za wafanyabiashara wa madini ya dhahabu ambao wanatuhumiwa kujishughulisha na utorashaji wa madini wilayani Chunya. Watuhumiwa hao, wametakiwa kutojishughulisha na shughuli yoyote ya Madini nchini. Wakati huo huo, Waziri Biteko, ameagiza kuondolewa kwa Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa Madini …

Soma zaidi »

UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE KWENYE MRADI WA STAMICO LAZIMA UANZE -WAZIRI BITEKO

Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na watumishi wa Wizara ya Madini kilichofanyika katika Mji wa serikali Mtumba Jijini Dodoma tarehe 11 Disemba 2020. Serikali imeeleza dhamira yake ya kuanza uchimbaji wa makaa ya mawe kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).Waziri wa …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MADINI BITEKO AZUIA URASIMU KATIKA SEKTA YA MADINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila akizungumza jambo wakati wa kikao cha menejimenti cha kumkaribisha rasmi Waziri wa Madini Doto Biteko ofisini tarehe 10 Disemba, 2020 Mtumba Jijini Dodoma. Asteria Muhozya na Steven Nyamiti, Dodoma Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wamekumbushwa kuzingatia maeneo muhimu …

Soma zaidi »

KAMERA 306 ZENYE UWEZO WA KUMTAMBUA MHALIFU ZAKABIDHIWA WIZARA YA ULINZI

Asteria Muhozya na Issa Mtuwa, Mirerani Kwa mara nyingine tena Ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani wenye urefu wa kilomita 24.5 umeingia kwenye historia nyingine baada ya kufungwa jumla ya Kamera 306 za Usalama zenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote ikiwemo kumbaini mhalifu. Kamera hizo zimewekwa kufuatia kuwepo …

Soma zaidi »