Wizara ya Maji

MWENYEKITI WA BODI YA TAASISI YA GWPSA – AFRICA RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MAJI

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Senegal Macky Sall, Ikulu ya Senegal, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa Wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership – Southern Africa and Africa Coordination …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira  (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akielezea kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Dar es Salam kwenye Maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulazizi Kattan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …

Soma zaidi »

WAZIRI AWESO AITUMIA BASHUNGWA CUP KUWAPA MBINU WABUNGE

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametoa rai kwa wabunge hapa nchini kuziomba  mamlaka zinazowazunguka  kuboresh miundombinu ya  michezo ikiwa ni pamoja na viwanja vya michezo katika maeneo yao ili kuwa katika viwango vinavyotakiwa.  Mhe. Aweso amefafanua kwamba  endapo viwanja vya michezo vitakuwa katika viwango vinavyotakiwa, hali hiyo itawafanya vijana …

Soma zaidi »

MAJALIWA – WATENDAJI SEKTA YA MAJI FANYENI KAZI WA UZALENDO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wote wa sekta ya maji nchini kufanya kazi kwa uzalendo, bidii na weledi na kwa kutanguliza maslahi mapana ya nchi. Amesema lengo ni kuhakikisha kuwa kiwango cha upatikanaji wa huduma ya maji nchini kinaongezeka ili kufikia malengo ya kufikisha maji kwa kiwango cha …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KWIMBA MKOANI MWANZA

Naibu Waziri Maryprisca Mahundi akimtua ndoo mama kichwani katika kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ikiwa ni ishara ya kumalizwa kero ya maji katika Kijiji hicho. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi  Maryprisca Mahundi (Mb)amezindua mradi wa maji Kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ulioghalimu …

Soma zaidi »

DAWASA YAKABIDHIWA MRADI MKUBWA KILIMANJARO, AFISA MTENDAJI MKUU ASEMA WANANCHI KUNYWA MAJI NOVEMBA 30

Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo wataalamu kutoka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maji wakati akitembelea maeneo mbalimbali kujionea sehemu ya mradi wa maji wa Same -Mwanga -Korogwe uliokua umesimama Wizara ya Maji imekabidhi mradi wa maji wa Same –Mwanga –Korogwe (SMK) kwa Mamlaka …

Soma zaidi »

WAZIRI AWESO AMUAGIZA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI KUTENGUA UTEUZI WA MENEJA WA RUWASA MKOA WA MARA

Waziri wa Maji, Mhe.  Jumaa Aweso (Mb) amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga kutengua uteuzi wa Meneja wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Mara, Mhandisi Sadick Chakka na mwenzake wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Marwa Murasa kwa kushindwa kusimamia vyema …

Soma zaidi »