Wizara ya Maji

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ATOA SIKU 60 KWA SUMA JKT KUKAMILISHA UJENZI WA TENKI LA MAJI BUIGIRI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji mhandisi Nadhifa Kemikimba ametoa siku 60 kwa mkandarasi SUMA JKT anayejenga tenki la maji katika eneo Buigiri wilayani Chamwino kuhakikisha anakamilisha kazi hiyo ili wananchi wapate huduma ya maji. Tanki hilo lenye ujazo wa wa lita Milioni 2.5 linajengwa kwa gharama ya Sh Milioni …

Soma zaidi »

DAWASA WATEKELEZA AGIZO LA RAIS DKT. MAGUFULI LA KUFIKISHA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA JIMBO LA UKONGA, KIFURU NA SEGEREA

Kufuatia agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka Mamlaka ya Maji safi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) kufikisha huduma ya Maji safi kwa wakazi wa Jimbo la Ukonga na Segerea kabla ya Disemba 25 Mwaka huu, hatimae DAWASA wametekeleza agizo hilo. Mapema leo Waziri wa Maji Jumaa Aweso …

Soma zaidi »

SHIDA YA MAJI KIBINDU KUWA HISTORIA – MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE

Mbunge wa Chalinze Ndg. Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Kibindu kuwa shida ya maji itabaki kuwa historia, akiongea mbele ya wananchi wa Kijiji cha Kwamduma, kata ya Kibindu Mh.Mbunge alimshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali kwa hatua zinazochukuliwa kupata ufumbuzi wa shida ya maji katika kata hiyo. Maneno hayo …

Soma zaidi »

SERIKALI KUTUMIA BILIONI 1 KUTATUA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI JIJINI DODOMA

Serikali kupitia Wizara ya Maji imeipatia Mamlaka ya Majisafi na Usafi waMazingira Mjini Dodoma (DUWASA) kiasi cha shilingi bilioni 1 iii kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo yenye changamoto ya huduma hiyo jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga alipotembelea kisima kimojawapo …

Soma zaidi »