WIZARA YA MAMBO YA NJE

BALOZI BRIGEDIA GENERALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI LUVANDA

Balozi Brigedia Generali Wilbert Ibuge,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini India katika ofisi za Wizara zilizopo Mtumba, jijini Dodoma.   Mazungumzo hayo yalilenga kubadilishana mawazo na uzoefu baina yao kuhusu masuala mbalimbali …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA WANG YI ATEMBELEA MWALO WA SAMAKI WA CHATO MKOANI GEITA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatiamaelezo Waziri wa  Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki waaina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoriawakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapemaasubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi …

Soma zaidi »

RWANDA YARIDHISHWA NA HUDUMA ZA BANDARI YA DSM PIA YAZUNGUMZIA JUU YA MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA UTAKAOFANYIKA RWANDA

Serikali ya Rwanda imeeleza kuridhishwa kwake na utoaji wa huduma katika Bandari ya Dar es Salaam na kuahidi kuendelea kuitumia Bandari hiyo ambayo inahudumia zaidi ya asilimia 80 ya mizigo ya Nchi hiyo. Balozi wa Rwanda hapa Nchini Meja Jenerali Charles Karamba ameyasema hayo mjini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo …

Soma zaidi »

TANZANIA NA PAKISTAN ZASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA KIDIPLOMASIA

Tanzania na Pakistan zimetiliana saini mikataba miwili ya makubaliano ambayo ni mkataba wa mashaurino ya kidiplomasia pamoja na mkataba wa kuanzisha tume ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John …

Soma zaidi »

TANZANIA YAHIMIZA MATAIFA MAKUBWA KUENDELEA KUZIFUTIA MADENI NCHI ZA OACPS

Na Nelson Kessy, Tanzania imeendelea kuhimiza umuhimu wa mataifa makubwa kuzifutia madeni nchi za Jumuiya ya nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) zilizoathiri na janga la COVID-19 pamoja na kuyataka mataifa hayo kuhakikisha kwamba chanjo ya COVID-19 itakayopatikana inazifikia nchi zote za Jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri …

Soma zaidi »