WIZARA YA MIFUGO

Serikali Yaandaa Mpango wa Mageuzi ya Sekta ya Mifugo ili Kukuza Ufugaji wa Kisasa Nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa Serikali imeandaa mpango wa mageuzi ya sekta ya mifugo ambao utasaidia kupunguza changamoto zinazokabili sekta hiyo nchini. Dkt. Biteko alitoa wito kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kubuni mbinu na mikakati ya kuondokana na ufugaji usio na …

Soma zaidi »

WAZIRI NDAKI ABAINISHA UFUGAJI WA SAMAKI KUONGEZA MALIGHAFI VIWANDANI

Na. Edward Kondela Serikali imesema uwekezaji wa ufugaji wa samaki utasaidia kuongeza malighafi kwenye viwanda vya uchakataji wa samaki pamoja na kuanzisha viwanda vipya hususan katika Ukanda wa Bahari ya Hindi. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema hayo (02.10.2021) wakati alipotembelea shamba la ufugaji samaki linalomilikiwa na …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA MAJIBU YA UKOSEFU WA MALIGHAFI KATIKA VIWANDA VYA KUCHAKATA SAMAKI

Na. Edward Kondela Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amewaelekeza viongozi wa viwanda vya kuchakata samaki Mkoani Mwanza kukaa na maafisa kutoka katika wizara hiyo kutafuta suluhu ya ukosefu wa malighafi ya kutosha katika viwanda vyao ili viweze kufanya kazi kwa kadri ambavyo vinatarajiwa. Naibu Waziri Ulega …

Soma zaidi »

AGIZO LA WAZIRI NDAKI LAZIDI KUSHIKA KASI, WENGINE ZAIDI MBARONI, UTOROSHAJI WA MIFUGO

Na. Edward Kondela Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limewakamata watuhumiwa wawili wa utoroshaji wa mifugo maeneo ya mipakani. Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa (02.02.2021), Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa …

Soma zaidi »

MWONGOZO WA UTOAJI WA CHANJO ZA MIFUGO NCHINI WAZINDULIWA, KULINDA AFYA YA MNYAMA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya magonjwa ya mifugo nchini, wenye lengo la kuhakikisha sekta binafsi na umma zinajua haki na wajibu katika zoezi zima la utoaji wa chanjo na kuhakikisha afya ya mnyama inabaki salama. Waziri Ndaki amebainisha hayo (22.01.2021) …

Soma zaidi »

GEKUL ‘AWASHUKIA’ MAAFISA UVUVI WANAOSHIRIKIANA NA WAHALIFU

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amesema kuwa hakuna haja ya kuendelea kuwa na Maafisa Uvuvi ambao wanashirikiana na wahalifu kufanya vitendo vya hujuma wakati kuna vijana wengi wenye nia njema ya kulitumikia Taifa wanahangaika na ajira. Gekul aliyasema hayo alipotembelea Kiwanda cha kuchakata samaki, Alpha kilichopo Vingunguti …

Soma zaidi »

DKT. BASHIRU ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KIWANDA KUSINDIKA MAZIWA NA VYAKULA VYA MIFUGO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakuru akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa kampuni ya Kahama Fresh Limited, Jossam Ntangeki na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Karagwe wakikagua moja ya zizi la mashamba ya ufugaji ambapo itapatikana malighafi ya kuendesha kiwanda kinachojegwa na kampuni …

Soma zaidi »

WAFUGAJI WATAKIWA KUWA NA MIFUGO BORA, KUBORESHA MAISHA NA KUKIDHI MAHITAJI YA VIWANDA

Na. Edward Kondela Wafugaji wametakiwa kuanza kufikiria kuwa na ng’ombe bora badala ya kuwa na ng’ombe wengi wasio na ubora ambao hawakidhi tija katika maisha yao kwa kutotoa mazao bora ambayo hayawezi kutoa kipato cha kuridhisha. Akizungumza jana (29.12.2020) katika Kijiji cha Kinango kilichopo Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wakati …

Soma zaidi »