✔️Serikali yatekeleza ahadi kabla ya siku tatu ✔️Megawati 235 nyingine kuingizwa Machi, 2024 ✔️Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huu* ✔️Dkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwa ✔️Mkandarasi apongeza usimamizi wa Dkt.Biteko
Soma zaidi »Taarifa Kuhusu Bei Kikomo Za Bidhaa Za Mafuta Ya Petroli Kuanzia Leo Februari 7 2024.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (kulia) akizungumza na Rais wa Chama cha Wafanyabiashara wa Italia, Mhandisi Alfredo Cestari walipokutana pembezoni mwa Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi za Afrika na Italia unaendelea Roma, Italia.
Shirika la Umeme Tanzania limekusanya faida ya Sh109 bilioni katika mwaka wa fedha 2021/2022, rekodi mpya chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Na Haya Ndiyo MatokeChanya+ #HayaNiMatokeoChanya+ #KatibaNiMaridhiano #UchaguziNiMashindano #RaisSamiaChapaKazi+ #KaziInaendelea
Taarifa Kwa Umma Kutoka TAMESA
Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim Elgazzar ameipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao umefikia asilimia 95.83 hadi sasa.
Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Shinyanga akitokea jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi leo Disemba 29, 2023.
BWAWA LA NYERERE NI ZIWA JIPYA ULIMWENGUNI
Linakuwa Eneo la tisa kwa ukubwa Ulimwenguni, la nne kwa ukubwa barani Afrika, na kubwa zaidi Mashariki mwa Afrika. Kwa urefu wa kilomita 100 (maili 62), upana wa kilomita za mraba 1,200 (maili za mraba 460), Likizuiwa na ukuta wa konkriti wenye urefu wa mita 134 [futi 440] likiwa na …
Soma zaidi »WAZIRI MAKAMBA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA
Waziri wa Nishati, January Makamba ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango tarehe 22 Septemba 2021 la kutatua changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara mkoani Kigoma. Katika ziara yake ya kikazi mkoani Kigoma aliyoifanya tarehe 06 Oktoba 2021, Waziri …
Soma zaidi »