Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani, amemuagiza mkandarasi, kampuni ya AEE POWER EPC S.A.U kuanza ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme katika Mji wa Ifakara ndani ya siku Kumi, ili kuimarisha hali ya upatikanaji umeme katika Wilaya ya Kilombero pamoja na Ulanga mkoani Morogoro. Dkt.Kalemani ametoa agizo hilo tarehe 23 …
Soma zaidi »BYABATO: NJOONI MUWEKEZE SINGIDA UMEME UPO WA KUTOSHA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amewataka wawekezaji Duniani kote kuja kuwekeza mkoani Singida kwakuwa kuna Umeme mwingi wakutosha na wa uhakika. Alisema hayo alipokuwa akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Singida, uliofanyika Februari 23, 2021. Wakili Byabato alisema kuwa, kwa sasa mkoa huo unazalisha umeme …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI BYABATO, APONGEZA UJENZI WA KITUO CHA UMEME WA 400KV SINGIDA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amepongeza kasi ya ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme wa 400kV cha Singida ambacho ujenzi wake umefikia asilimia 94 na kinatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu. Wakili Byabato alitoa pongezi hizo wakati wa ziara yake mkoani Singida, Februari 22, 2021, ya …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI ASEMA CORONA HAIJAATHIRI UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI
Zuena Msuya Dar es Salaam, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewatoa hofu watanzania kwa kusema kuwa tishio la virusi vya ugonjwa wa corona halijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini. Aidha kuna ziada ya mafuta itakayotumika zaidi ya siku 30 na bado meli zinaendeleapakuwa mafuta bandarini. Dkt. Kalemani alisema hayo Jijini …
Soma zaidi »SASA NI MEGAWATI 580 ZINGINE KUTOKA RUHUDJI NA RUMAKALI – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwa Mkoani Njombe Januari 30, 2021 amesema kuwa, Serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa miradi miwili mikubwa ya kufua umeme wa jumla ya megawati 580 kwa njia ya maji ambayo ni, Mradi wa Ruhudji na Mradi wa Rumakali yote kwa pamoja ikiwa Mkoani Njombe.Alieleza …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI: TUMEKUSUDIA KUZALISHA UMEME WA JOTOARDHI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuwa mikoa ya Mbeya na Songwe inavyanzo vya nishati ya jotoardhi vyenye uwezo wa kuzalisha megawati 165 za umeme nishati ya jotoardhi. Amesema hayo alipotembelea eneo la majimoto lililoko wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe. Ameeleza kuwa miradi ya kipaumbele ya Kampuni ya Uendelezaji …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA DEGE KIGAMBONI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI BYABATO AITAKA TANESCO ISHIRIKIANE NA MBUNIFU WA MTAMBO WA KUFUA UMEME KWA KUTUMIA SUMAKU KUTENGENEZA MTAMBO MWINGINE MPYA
Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato akisoma kipimo cha umeme kinachotumika kupima kiwango cha umeme kinachozalishwa kwenye mtambo wa kufua umeme kinachoitwa (Clamp digital meter) kipimo hicho kimethibitisha kuwa, umeme unaozalishwa na mtambo uliobuniwa na Mbunifu Rojers Msuya unakidhi viwango vyote vya TANESCO. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato, …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AIGIZA TPDC KUKAMILISHA UFUNGAJI WA MITAMBO YA KUSINDIKA GESI ASILIA
Na Dorina Makaya – Dar-es-salaam. Waziri waNishati Mhe. Dkt. Medard kalemani ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukamilisha ufungaji wa mitambo ya kusindika gesi asilia (Compressed Natural Gas – CNG) kwa matumizi ya magari ndani ya miezi sita. Waziri Kalemani ametoa maagizo hayo kwa TPDC tarehe 23 Januari, …
Soma zaidi »TANESCO DODOMA YAPEWA MIEZI 6, MAKAO MAKUU YA NCHI KUPATA UMEME YOTE
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Dodoma kuwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia sasa, Vijiji na maeneo yote ya mkoa huo yawe yamepata umeme, kuunganisha na kuwawashia wateja, atakayeshindwa kutekeleza hilo atakuwa amejifukuza kazi mwenyewe. Dkt. Kalemani alisema hayo, wakati wa …
Soma zaidi »