WIZARA YA NISHATI

WATEJA WALIOLIPIA ANKARA ZA UMEME WAUNGANISHIWE UMEME NDANI YA MIEZI MITATU – DKT. KALEMANI

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijjini (REA), kuhakikisha wanawaunganishia umeme wateja wote waliolipia ankara za umeme jijini Mwanza na maeneo ya vijijini ndani ya miezi mitatu kuanzia tarehe 30 Desemba, 2020. Waziri Kalemani ameyasema hayo, tarehe …

Soma zaidi »

BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME

Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …

Soma zaidi »

WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WAFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA JULIUS NYERERE (JNHPP)

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Stephen Byabato wamefanya ziara kwenye ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa mradi ambao utazalisha umeme wa megawati 2115.Ziara hiyo iliyofanyika, tarehe 14 Desemba, 2020 iliwahusisha …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AUTAKA UONGOZI WA WIZARA YA NISHATI KUFANYA KAZI KWA KASI NA UBUNIFU

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amewataka watumishi wa Wizara ya Nishati kufanya kazi kwa kasi na kwa ubunifu ili kuhakikisha sekta ya Nishati inaendelea kukua ili kuwezesha upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika kwa maendeleo ya Viwanda na kuliletea Taifa maendeleo. Waziri Kalemani ameyasema hayo Desemba 10, …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU MADINI ATOA MIEZI MIWILI MGODI STAMIGOLD KUANZISHA MIGODI MIPYA

Na Issa Mtuwa – Kagera Stamigold Wizara ya Madini imetoa kipindi cha miezi miwili kwa Mgodi wa STAMIGOLD kuwasilisha Mpango wa kuanzisha Migodi Mipya. Kauli hiyo kwa STAMIGOLD ambayo ni Kampuni Tanzu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) inafuatia kuonyesha uwezo wa kuanzisha na kuendesha migodi mipya. Hayo yamesemwa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA – MRADI WA KUFUA UMEME KWA KUTUMIA MAJI WA JNHPP NI MRADI MKUBWA NA NI MRADI WA KIMKAKATI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(wapili kushoto) kwa pamoja na Waziri wa Umeme na nishati jadidifu Prof. Dr. Mohamed Shaker El-Markabi (wakwanza kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Saidi na aliyekuwa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani wakibonyeza kitufe maalum kuashiria Uzinduzi …

Soma zaidi »

DKT KALEMANI AAGIZA WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME NDANI SIKU 21

Hafsa Omar-Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ametoa agizo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini( REA) pamoja na wakandarasi wote kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolipia huduma ya umeme waunganishiwe  umeme ndani ya siku 21. Alitoa agizo hilo Oktoba 5,2020 wakati akiwa kwenye ufunguzi …

Soma zaidi »