WIZARA YA NISHATI

WATANZANIA WAMEANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA JNHPP HATA KABLA HAUJAKAMILIKA – KATIBU MKUU NISHATI

Veronica Simba – Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amesema kuwa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) umeanza kuwanufaisha Watanzania hata kabla ya kukamilika. Ameyasema hayo kwa njia ya simu, leo Juni 22, 2020 alipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hii …

Soma zaidi »

BODI YA TANESCO IMEFANYA KAZI NZURI – WAZIRI KALEMANI

Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), akisema imefanya kazi nzuri katika kushughulikia changamoto mbalimbali za umeme nchini. Alibainisha hayo Juni 17, 2020 alipokutana na kuzungumza na Bodi hiyo jijini Dodoma, akiwa ameambatana na Naibu wake, Subira …

Soma zaidi »

TANESCO INATARAJIA KUKUSANYA TAKRIBAN SHILINGI BILIONI 6 ZA ZIADA KATIKA MAUZO YA UMEME MKOANI GEITA

Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka akiwa katika ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa Mradi wa kusafirisha umeme kutoka Bulyanhulu hadi Geita kilovolti 220 amesema TANESCO inatarajia kukusanya takriban Shilingi bilioni 6 za ziada katika mauzo ya umeme Mkoani Geita.Dkt. Mwinuka alisema kiasi hicho cha fedha ni kutoka katika Mgodi …

Soma zaidi »

UCHIMBAJI KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO JNHPP WAKAMILIKA

Mhandisi Dismas Mbote Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022. Mhandisi Dismas Mbote, msimamizi wa ujenzi wa njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA UZALISHAJI WA GESI ASILIA LINDI NA MTWARA

 Na Zuena Msuya, Mtwara Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miundombuni ya uchimbaji, uchakataji na usafirishaji wa gesi asilia katika  Mikoa ya Lindi na Mtwara. Mhandisi Zena alifanya ziara hiyo mwishoni mwa juma kwa kukagua visima vya kuchimba gesi vilivyopo Mnazi …

Soma zaidi »

MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI, WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE

Na Zuena Msuya Lindi, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC) itasambaza na kuunganisha bila malipo (bure) miundombinu ya usambazaji wa Gesi asilia kwa matumizi ya majumbani kwa wateja wa awali katika mikoa yote  nchini itayofikiwa na huduma hiyo. …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …

Soma zaidi »

MUDA WA KUKAMILISHA MIRADI HAUJABADILIKA – WAZIRI KALEMANI

Veronica Simba na Zuena Msuya – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, awamu ya tatu, mzunguko wa kwanza na kujadiliana maendeleo ya mradi huo unaotekelezwa nchini kote. Kikao hicho kilichofanyika, Mei 21, 2020 jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa …

Soma zaidi »