Miundombinu Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MAGARA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga, ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la Magara lenye urefu wa mita 84 na barabara za maingilio KM 4. Katibu Mkuu Mwakalinga, amesema kuwa daraja hilo linajengwa na mkandarasi M/s China Railway Seventh Group kwa muda wa miezi ishirini na […]

Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI AIPONGEZA SERIKALI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Katika ziara hiyo Bi. Anne alipata fursa ya kutembelea Stesheni ya reli ya kisasa inayojengwa eneo la Stesheni jijini […]

IDARA YA HABARI MAELEZO Miundombinu Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

MITAMBO YA KUNYANYULIA MIZIGO YA UJENZI WA MRADI WA JN HPP YAZINDULIWA RASMI FUGA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.Atashasta Nditiye amazindua Rasmi Vifaa vya Kunyanyulia Makontena ya Mizigo na Vifaa vizito vya utekelezaji wa ujenzi wa Mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JN HPP). Akizungumza jana katika stesheni ya fuga, Waziri Nditiye alisema kuwa Serikali imenunua vifaa hivyo ambavyo ni Reach Stacker […]

IDARA YA HABARI MAELEZO SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

SADC KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI

  Sekretarieti ya Miundombinu ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) inajikita katika kuimarisha na kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa kufanya ukarabari na kuhuisha sekta hiyo hususani sekta ya Bandari, Reli na Anga. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Wa Sekritarieti ya SADC Miundombinu Bi.Rosemary Makoena […]