KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

NDITIYE ARIDHISHWA NA UPATIKANAJI WA MAWASILIANO KIGOMA

Serikali imefanya ukaguzi wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano mkoani Kigoma na kuridhishwa na hali ya mawasiliano mkoani humo kwa kubaini kuwa wananchi wanapata huduma za mawasiliano na wanawasiliana kwa kutumia mitandao ya kampuni za simu iliyopo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa ameridhishwa na huduma ya mawasiliano iliyopo mkoani […]

IDARA YA HABARI MAELEZO SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa kuwa na mipango, sera, viwango na mifumo ya pamoja ya kisheria itakayorahisha utoaji wa huduma za usafirishaji wa bidhaa na kukuza biashara ndani ya Ukanda huo. Akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya hiyo wanaosimamia sekta za Tehama, Habari, Uchukuzi na […]

Bandari Dar es Salaam Reli ya Kisasa ya Umeme SGR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA – RUVU

Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo , Malawi , Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaac Kamwelwe […]

Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ TANZANIA TOURISM BOARD WIZARA YA MALIASILI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

VIONGOZI WA MAKAMPUNI MAKUBWA 20 KUTOKA CHINA KUFANYA ZIARA NCHINI

Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang Nchini China watafanya ziara nchini tarehe 20-23 Julai 2019 kutafuta fursa za kuwekeza nchini katika sekta za mawasiliano, utalii, uzalishaji, madini, filamu. Ujumbe huo utakutana na wafanyabiashara wa Tanzania kupitia taasisi ya TPSF Katika ziara ya ujumbe wa Makampuni 20 kutoka Zhejiang itafanyika mikutano miwili ya […]

Reli ya Kisasa ya Umeme SGR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

TRC KUFUNGA NJIA ZA RELI KWA SAA 72 ILI KUKARABATI RELI YA KATI

Shirika la Reli Tanzania TRC limeanza kukarabati njia ya Reli ya kati ya kutoka Dar Es Salaam mpaka Isaka iliyopo Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga takribani kilomita 970 ili kuimarisha reli hiyo yenye kiwango cha Mitagauge zoezi ambalo lilianza Juni mwaka huu na kutarajia kukamilika mwaka 2020. Katika Utakabati huo Shirika hilo linatarajia kufunga […]