WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KUFANIKISHA UJENZI BARABARA YA BUGENE-KASULO-KUMUNAZI
Wakazi wa Kijiji Cha Nyakahanga wilayani Karagwe Mkoani Kagera wameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja. Wameipongeza Wizara ya Ujenzi Kupitia Wakala ya Barabara Tanzania -TANROADS kwa kuwajengea barabara inayounganisha …
Soma zaidi »Serikali Yathibitisha Ujenzi wa Barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji Kuongezewa Urefu wa Kilometa 10
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amefichua kuwa serikali imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji, ambayo itaboresha miundombinu muhimu katika eneo hilo lenye umuhimu mkubwa. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi huko Wilayani Kigamboni, Mkoani Dar es Salaam, Bashungwa alifichua kuwa …
Soma zaidi »WIZARA YA HABARI NA MAWASILIANO YAZINDUA MFUMO WENYE KUHIFADHI NA KUTUNZA TAARIFA BINAFSI
MAFANIKIO YA SEKTA YA UJENZI KATIKA MKOA WA ARUSHA
Sekta ya Ujenzi imepata mafanikio makubwa katika Mkoa wa Arusha. Kupitia juhudi zilizofanywa na Serikali kupitia TANROADS, kumekuwa na maboresho makubwa katika miundombinu ya barabara na madaraja. Kulingana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Mha. Reginald R. Massawe, kumekuwa na ongezeko la kilometa 53 za barabara za lami, ambapo …
Soma zaidi »Mradi wa ujenzi wa barabara ya Nsalaga – Ifilisi (km 29) ni sehemu ya Barabara kuu ya Igawa – Songwe – Tunduma yenye jumla ya urefu wa kilometa 218 ambayo ni kiungo muhimu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini na nchi zilizopo ukanda wa SADC
TAARIFA KUTOKA AIR TANZANIA
Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU UCHUKUZI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »MHANDISI KUNDO AZINDUA DUKA LA POSTA MTANDAO
Afisa TEHAMA wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Prosper Mallya akimpitisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew namna ya kununua gazeti mtandao la kampuni hiyo kabla ya kabla ya uzinduzi rasmi wa Duka Mtandao la Posta ulioambatana na Maadhimisho ya Wiki ya Posta …
Soma zaidi »