Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jen. Marco Gaguti ametoa agizo la kivuko MV Mafanikio kinachofanya safari zake kuanzia Feri hadi Msangamkuu kuwa kuanzia Oktoba 4, 2021 Kivuko hiko kitahudumia wananchi hadi saa mbili usiku badala ya saa 12 jioni ili kuruhusu wananchi hao kupata muda zaidi katika shughuli zao …
Soma zaidi »SERIKALI KUFUNGA RADA SABA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Buruhani Nyenzi, akizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, wakati alipotembelea na kukagua utendaji kazi wa Mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam. Serikali imeingia mkataba kwa ajili ya ujenzi wa rada mbili za mwisho …
Soma zaidi »UJENZI WA MAJENGO MJI WA SERIKALI SASA SI WAKATI WA NADHARIA
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemkabidhi mkandarasa anayejenga jengo la wizara yao ambapo sasa vifaa vinatakiwa kuletwa katika eneo la ujenzi ambalo tayari limeshasafisha kwa kuanza kwa ujenzi huo. Hayo yamebainika leo septemba 29, 2021 Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma ambapo zoezi la makabidhiano limefanyika mbele ya Wakala …
Soma zaidi »KASEKENYA AMTAKA MKADARASI DARAJA LA JPM KUFIDIA MUDA ULIPOTEA
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amemtaka mkandarasi wa kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation na China Railway 15 Bureau Group Corporation wanaojenga Daraja la JPM (Kigongo hadi Busisi), lenye urefu wa kilometa 3.2 kufidia muda uliopotea na kuwafanya wawe nyuma kwa asilimia 7.Akikagua maendeleo ya …
Soma zaidi »SERIKALI KUIDHINISHA KIASI CHA BILIONI 372.34 KWA AJILI YA KUANZA UJENZI WA KIPANDE CHA 5 CHA RELI YA MWANZA – ISAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 22 Mei, 2021 amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa kuhusu maendeleo ya miradi ya ujenzi wa reli na maendeleo ya TRC. Katika mazungumzo hayo, Bw. Kadogosa amemshukuru Mhe. Rais Samia kwa …
Soma zaidi »MWAKALINGA AKAGUA MIFUMO YA TEHAMA KUFUATILIA UTENDAJI WA MIZANI
Mhandisi Kashinde Musa akifafanua jambo kwa baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakati menejimenti hiyo ilipotembelea chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko. Mhandisi Kashinde Musa …
Soma zaidi »TARURA SINGIDA YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 1.8 UJENZI WA DARAJA WILAYANI MANYONI
Watendaji wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Manyoni wakikagua daraja hilo. Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kupitia watendaji waaminifu wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) imeokoa zaidi ya bilioni 1.8 kwenye ujenzi ambao tayari umekamilika wa daraja la …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WATENDAJI KUFANYA MAAMUZI
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (aliyevaa suti ya kaki) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Uchukuzi, lililofanyika kwa siku mbili mkoani Mwanza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameitaka menejimenti na viongozi wa taasisi wa Sekta ya Uchukuzi …
Soma zaidi »WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AMTAKA MKANDARASI UJENZI DARAJA LA MAGUFULI JIJINI MWANZA KUTOA AJIRA ZA VIBARUA KWA WAZAWA
Muonekano wa sasa wa Daraja la Kigongo-Busisi, lenye urefu wa wa mita 3200, na barabara unganishi (km1.66). Daraja hili linagharamiwa na Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa asilimia 100. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira …
Soma zaidi »UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MTWARA WAMVUTIA NAIBU WAZIRI MABULA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akishuka ngazi wakati akkagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Mtwara itakayohudumia mikoa ya Kanda ya Kusini pamoja na nchi jirani wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi na …
Soma zaidi »