Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni …
Soma zaidi »VIWANJA VYA NDEGE VYA SHINYANGA, KIGOMA, TABORA NA SUMBAWANGA KUJENGWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
Na. Ramadhani Kissimba na Peter Haule, Dar es Salaam Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa …
Soma zaidi »KATIBU MKUU MWAKALINGA APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga amepokea kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Tanga, MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina beba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Soma zaidi »SIMU JANJA ZITUMIKE KUTAFUTIA FURSA – DKT CHAULA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw Emmanuel Tutuba (wa pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu (Mawasiliano) Dkt Jim Yonaz (wa tatu kushoto) akisalimiana na Dkt. Godwill Wanda, Katibu Mtendaji wa Baraza …
Soma zaidi »RAIS WA MALAWI LAZARUS CHAKWERA AMETEMBELEA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Huduma za Kontena Bandarini (TICTS), Kituo cha Mizigo cha Malawi (Malawi Cargo Center) pamoja na Bandari ya Dar es Salaam.
Soma zaidi »SERIKALI KUWATAMBUA NA KUWATUMIA WATAALAMU WA TEHAMA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (Kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Nne la Mwaka la TEHAMA , Oktoba 7, 2020 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili …
Soma zaidi »AIRTEL YASHIRIKIANA NA WORDREMIT KUZINDUA HUDUMA YA KUPOKEA PESA KIMATAIFA
Mkurugenzi wa Airtel Money, Isack Nchunda akizungumza wakati wa kutangaza ushirikiano wa Airtel Money na Kampuni ya Malipo ya Kimataifa ya WordRemit ya kuwezesha wateja wa Airtel Money kupokea Pesa moja kwa moja kutoka nchi zaidi ya 50 duniani wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jijini . Kushoto …
Soma zaidi »MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM
Maendeleo ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam. Rais Dkt. John Magufuli na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera wanatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi Kituo cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais wa Malawi Dkt. …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …
Soma zaidi »MELI YA ABIRIA MV MBEYA II KUANZA SAFARI LEO
Meli ya abiria ya Mv Mbeya II, leo tarehe 5 Oktoba, 2020 inaanza safari yake ya kwanza ya kutoka bandari ya Itungi kwenda Mbamba bay. Meli hiyo itapita katika bandari za Matema, Lupingu, Manda, Ndumbi, Liuli, na Mbamba bay. Ambapo maandalizi yote yamekamilika meli inaanza safari asubuhi hii, kuanza kwa …
Soma zaidi »