WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO

SERIKALI KUWATAMBUA NA KUWATUMIA WATAALAMU WA TEHAMA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (Kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Nne la Mwaka la TEHAMA , Oktoba 7, 2020 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili …

Soma zaidi »

AIRTEL YASHIRIKIANA NA WORDREMIT KUZINDUA HUDUMA YA KUPOKEA PESA KIMATAIFA

Mkurugenzi wa Airtel Money, Isack Nchunda akizungumza wakati wa kutangaza ushirikiano wa Airtel Money na Kampuni ya Malipo ya Kimataifa ya WordRemit ya kuwezesha wateja wa Airtel Money kupokea Pesa moja kwa moja kutoka nchi zaidi ya 50 duniani wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jijini . Kushoto …

Soma zaidi »

MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM

Maendeleo ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam. Rais Dkt. John Magufuli na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera wanatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi Kituo cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais wa Malawi Dkt. …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …

Soma zaidi »

TARURA YATEKELEZA MIRADI YA AHADI ZA RAIS WILAYANI MULEBA

Na. Erick Mwanakulya, Kagera. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutetekeleza miradi ya Ahadi za Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kukamilisha ujenzi wa Barabara zenye urefu wa Km 2.76 kwa kiwango cha lami katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera. Akizungumza wakati wa ukaguzi …

Soma zaidi »

KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA KUFANYIKA OKTOBA 7 HADI 9

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa …

Soma zaidi »

MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WAUNGANISHA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Unguja na Pemba wakiwa kwenye ukumbi wa Wizara ya …

Soma zaidi »