Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UWEKEZAJI Viwanda vidogo SIDO WAZIRI WA VIWANDA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

TIC YASAJILI MIRADI 1174, SEKTA YA VIWANDA YAONGOZA UWEKEZAJI

Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) katika kipindi cha miaka minne kuanzia Novemba 2015 hadi Novemba 2019, imesajili jumla ya miradi 1174 yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 15,756.9 huku sekta ya viwanda ikiongoza kwa kutoa asilimia 53 ya miradi yote nchini. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi  Mtendji wa […]

Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Viwanda vidogo SIDO WAZIRI WA VIWANDA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

MRADI WA KIWANDA KIKUBWA CHA DAWA TANZANIA WAVUTIA WAWEKEZAJI WA KIMKAKATI AFRIKA KUSINI

Tanzania imewasilisha miradi 13 ya Kipaumbele kwa wawekezaji wa kimkakati wanaoshiriki kongamano la Jukwaa la Uwekezaji Mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango anayemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa hilo, amesema Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza dawa  mchanganyiko kitakachogharimu zaidi ya dola za Marekani milioni 408 […]

China MAZAO YA BIASHARA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA NJE NCHINI CHINA

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshiriki katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China ambayo yamefunguliwa na Rais wa China Xi Jinping ambapo nchi zaidi ya 64 zinashiriki kuonyesha bidhaa mbalimbali. Tanzania inashiriki maonesho hayo kwa kutangaza mazao ya kimakakati pamoja na kutangaza vivutio vya kiutalii vinavyopatikana […]

MAZAO YA BIASHARA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

TANZANIA KUANZISHA KITUO CHA KIMATAIFA CHA USULUHISHI WA MIGOGORO YA KIBIASHARA

Tanzania na Taasisi ya ushauri wa kisheria ya Afrika (ALSF) iliyoko chini ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimekubaliana kuandaa mkakati maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo maalum na ya haraka ya msaada wa kisheria kwa Ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa serikali (DPP) hususani katika kusimamia mashauri katika mahakama na mabaraza ya usuluhishi […]

China SADC Tanzania MpyA+ UWEKEZAJI WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

BALOZI KAIRUKI AYAKARIBISHA MAKAMPUNI YA SADC KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI NDANI YA JIMBO LA JIANGSU – CHINA

Mkutano wa kuvutia uwekezaji katika nchi za SADC kutoka Jimbo la Jiangsu umefunguliwa leo jijini Nanjing na Naibu Gavana wa Jimbo hilo Ndugu Ma Qiulin. Mkutano huo umehudhuriwa na Mabalozi 11 wa nchi za SADC na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa SADC ambaye pia ni Mkurugenzi wa Miundombinu wa Sekretariat ua SADC Bi Mapolao Mokoena. […]

KILIMO KOROSHO YETU MAZAO YA BIASHARA MAZAO YA CHAKULA NAIBU WAZIRI KILIMO NAIBU WAZIRI WA KILIMO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KILIMO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ZAO LA KOROSHO

MSIMU UJAO KOROSHO KUNUNULIWA KWA KUJISAJILI KUPITIA MFUMO WA ATMIS – WAZIRI HASUNGA

  Serikali imetangaza ununuzi wa korosho wa msimu mpya  unaohusisha teknolojia ya wanunuzi kujisajili kwenye Bodi ya Korosho kupitia mfumo wa Wizara ya Kilimo wa kusimamia Biashara za Kilimo (Agricultural Trade Management Informataion System – ATMIS). Imeeleza pia kuhusu deni la korosho msimu uliopita inalodaiwa na wakulima wakubwa kuwa shilingi bilioni 50, ambalo linaendelea kulipwa […]