Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb) ametoa maelekezo kwa ajili ya kuimarisha sekta ya viwanda na biashara ili sekta hizo zichangie kwa kiwango kikubwa katika ukuaji wa uchumi na kutekeleza malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka …
Soma zaidi »WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AWAASA WAKUU WA TAASISI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb) amewataka Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zinazotumika kusimamia taasisi hizo na sikuwa kikwazo katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Waziri Mkumbo aliyasema hayo alipokuwa akitoa mwelekeo wa utekelezaji wa …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE VIWANDA IMETEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA CHANJO ZA WANYAMA NA KUKAGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIUADUDU
Na Eliud Rwechungura Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. David Kihenjile (Mb) na Makamu Mwenyekiti Mhe. Eric Shigongo imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) katika mwendelezo wa ziara za kamati hiyo katika mkoa wa Pwani na …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI WA VIWANDA YALIYO CHINI YA EPZA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile(Mb) huku ikiwa imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe ikiendelea na ziara yake katika Maeneo Maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje (EPZA) Ubungo, Dar es salaam. …
Soma zaidi »WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanali Simon Anange pamoja na Katibu tawala wa wilaya ya Kasulu Mhe. Joseph Kashushura, Tarehe 3 Machi, 2021 wamepokea ujumbe kutoka wizara ya Viwanda na Biashara, EPZA, TIC na Bodi ya Sukari ulioambatana na mwakilishi mkazi wa kampuni ya Mahashree Agroprocessing Tz Ltd mwenye …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIAGIZA SIDO KUONGEZA JUHUDI NA UBUNIFU KATIKA UTOAJI WA HUDUMA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kuongeza juhudi na ubunifu katika utoaji wa huduma zinazotumia teknolojia ya kisasa ili kukuza viwanda vidogo na kuongeza ajira nchini. Hayo, yalisemwa na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA WADAU WA SEKTA YA NGUO NCHINI
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akifafanua jambo kwa wazalishaji na waagizaji wa nguo na mavazi hususani vitenge na kanga katika kikao kilichofanyika tarehe Februari 2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara (CBE ) jijini Dodoma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amekutana na kufanya mazungumzo …
Soma zaidi »WAZIRI MWAMBE AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA DANGOTE PAMOJA NA WAZALISHAJI WA SUKARI NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe,akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu na Meneja wa kiwanda cha Dangote nchini Tanzania Bw.Abdullahi Baba mara baada ya mazungumzo ofisini kwake leo Januari 29,2021 jijini Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe, amekutana na wazalishaji wa Sukari nchini …
Soma zaidi »TBS YATEKETEZA BIDHAA ZISIZOKIDHI UBORA ZENYE THAMANI YA MILIONI 40
Na Eliud Rwechungura Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa zisizokidhi ubora wa viwango yenye thamani ya shilingi milioni 40 ambazo ziliondolewa sokoni na Wakaguzi wa TBS kanda ya kati kuanzia mwezi Novemba, 2020 hadi Januari 15, 2021. Zoezi hilo la uteketezaji bidhaa hizo limefanyika katika dampo Chidachi – Dodoma, Januari …
Soma zaidi »WAZIRI MWAMBE ATOA ONYO KALI LA KUWAFUTIA LESENI WANAOPANDISHA BEI YA MAFUTA YA KULA
Na Eliud Rwechungura. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe amewahakikishia watanzania kuwa hakuna uhaba wa Mafuta ya kula nchini na ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaopandisha bei ya mafuta ya kula nchini na amehaidi kuwachukulia hatua ya kuwafutia leseni za biashara wafanyabiashara wakubwa wanaopandisha bei, nje ya ongezeko la …
Soma zaidi »