Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuhakikisha wanakata bima za moto ili pale wanapokumbwa na ajali za moto wapate wepesi wa kulipwa fidia za mali zao. Bashungwa alitoa wito huo akiwa ziarani Karagwe mkoani …
Soma zaidi »RC SHIGELLA ATEMBELEA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA KADI ZA KIELEKTRONIKI
Serikali imetakiwa kuweka utaratibu utakaowezesha taasisi za Umma na watu binafsi, kuacha kuagiza kadi za kielektroniki nje ya nchi na badala yake watumie zinazozalishwa nchini ili kujenga uchumi wa viwanda.Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella, alitoa pendekezo hilo wakati alipotembea kiwanda kipya cha kuzalisha vocha na kadi mbalimbali kinachojulikana …
Soma zaidi »TANI 20,000 ZA SUKARI ZIMESHUSHWA MWANZA – WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kwa wauzaji kuzingazitia bei elekezi. Mhe.Bashungwa ameyasema hayo Tarehe 14 mai 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA – WAMILIKI WA VIWANDA ZALISHENI VIFAA KINGA VYA KUTOSHA KUKABILIANA NA CORONA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akiongea katika kikao hicho kilichowakutanisha wamiliki wa viwanda vya vifaa kinga ambapo amewapongeza wamiliki wa viwanda vya dawa,vifaa na vifaa tiba kuzalisha vifaa kinga Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Innocent Bashungwa Pamoja na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee …
Soma zaidi »