Bodi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 450, sawa na shilingi za Tanzania trilioni 1 kwa ajili ya Mradi wa kusaidia Kaya Masikini nchini Tanzania kupitia TASAF.
Soma zaidi »CREDIT SUISSE BANK: TUTAENDELEA KUIKOPESHA TANZANIA KWA KUWA INAKOPESHEKA NA MAHILI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI
Benki ya Credit Suisse ya Uingereza imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuikopesha Tanzania ili kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo baada kuridhishwa na uaminifu wa urejeshaji mikopo kwa wakati pamoja na ubora wa viwango vya miradi inayotekelezwa nchini. Ahadi hiyo imetolewa Mjini Washington D.C nchini Marekani na Mkurugenzi wa Masoko …
Soma zaidi »BENKI YA DUNIA KUTOA MKOPO NA MSAADA WA SHILINGI TRILIONI 4 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO
Benki ya Dunia imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu na msaada wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.7 sawa na takriban shilingi trilioni 4 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020. Ahadi hiyo imetolewa mjini Washington …
Soma zaidi »