Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Elimu Mjumuisho Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt, Hussein Mwinyi akikagua Gwaride Maalum la Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Mkoa wa Mjini Magharibi leo
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani
Askari mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani
Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024.
Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024. pic.twitter.com/IU0kHqZhLe— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 12, 2024
Soma zaidi »Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali na wananchi katika Tamasha la Burudani na Urushaji wa Fashifash viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 11 Januari 2024.
Soma zaidi »