ZANZIBAR

Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024.

Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024. pic.twitter.com/IU0kHqZhLe— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 12, 2024

Soma zaidi »

VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA, MJINI MAGHARIBI LUMUMBA ZANZIBAR

Ufunguzi rasmi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Januari, 2024. Ongezeko la vifaa tiba bora na vyakisasa katika Hospitali hii kutachangia Nini? Kuboresha Huduma za Afya  Ufunguzi …

Soma zaidi »