Makamu wa Rais MAZINGIRA BORA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UTUNZAJI MAZINGIRA WAZIRI WA MAZINGIRA Ziara za Makamu wa Rais

WAZIRI SIMBACHAWENE AFUTA LESENI ZA KAMPUNI ZILIZOFANYA UDANGANYIFU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene ameagiza waliobainika kusafirisha vyuma chakavu ambavyo ni miundombinu ya majitaka na maji safi wachunguzwe kujua walikovitoa ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Pia ametahadharisha kuwa yeyote atakayekutwa amebeba, kuhifadhi, kuuza au kusafirisha vyuma chakavu bila kibali, atakuwa ametenda […]

Makamu wa Rais MAZINGIRA BORA Mhe. Samia Suluhu Hassan OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ TUJADILI NAMNA TUNAVYOISHI NA MAZINGIRA YETU UTUNZAJI MAZINGIRA WAZIRI WA MAZINGIRA WIZARA YA MALIASILI Ziara za Makamu wa Rais

NCHI WANACHAMA ZA SADC WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA NCHI YA ZIMBABWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ┬áSamia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Mawaziri wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya SADC wa sekta ya Utalii,Maliasili na Mazingira katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. Akifungua mkutano huo Makamu wa Rais amesema kuwa katika mkutano wa 39 wa wakuu wa Nchi […]