Recent Posts

WAKULIMA MBINGU KILOMBERO WANUFAIKA NA UWEZESHAJI WA KILIMO CHA KOKOA

Na Mwandishi Ifakara Wakulima wa zao la Kokoa Mbingu Wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamenufaika na uwezeshaji kutoka Shirika la Africa WildLife lililowezesha kuongeza thamani ya zao la Kokoa kutoka kuandaa miche mpaka uzalishaji. Hayo yamebainishwa na wanufaika hao wakati wa zoezi la ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Mashirika …

Soma zaidi »

TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO, KUKUZA MAENDELEO

Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo endelevu.  Makubaliano hayo yamefanywa na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke, wakati alipokutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI APOKEA MSAADA WA COMPYUTA 10 KUTOKA BENKI YA AZANIA

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya milioni 12 kutoka Benki ya Azania. Msaada huo ulipokelewa leo tarehe 10 Julai 2020 katika ofisi za ardhi mkoa wa Dodoma na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa …

Soma zaidi »

AGIZO LA RAIS DKT MAGUFULI LAANZA KUTEKELEZWA MKOANI MOROGORO

Wananchi wa eneo la Ilonga Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamemshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kutekeleza ahadi yake  ya kuunda kamati maalum ya kutatua kero za migogoro ya ardhi inayosababisha maafa kwa wananchi pamoja na ukosefu wa huduma za afya baada ya mmojawapo wa wajumbe wa kamati hiyo kufika katika …

Soma zaidi »